Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?


Mbona hakuna kitu hapo yaani unashangaza sana wewe jamaa huna exposure kabisa yaani kwa mwanza hivyo ni vibanda vya kuku mwanza makazi ya milimani bado changamoto hiyo Hali unaikuta Hadi makulu hapo Dodoma ,,,Dodoma nimepita Juzi Juzi nikiwa nakuja Dar. angalau Tanzania majiji ni mawili tu Dar na Mwanza 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…