Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mzee wa fact upungufu husabibisha shida. Unaweza tumia maneno mengi kuzunguka pale pale.
 
Mzee wa fact upungufu husabibisha shida. Unaweza tumia maneno mengi kuzunguka pale pale.
Rudi shule wewe MEMKWA kama hujui tofauti ya shida na upungufu. Ukisema "shida" maanayake hayapatikani yaani scarcity...upungufu ni inadequate supply yaani hayatoshelezi
 
Rudi shule wewe MEMKWA kama hujui tofauti ya shida na upungufu. Ukisema "shida" maanayake hayapatikani yaani scarcity...upungufu ni inadequate supply yaani hayatoshelezi
Hujanielewa unabisha bila kutumumua akili, nimekuambia UPUNGUFU husababisha SHIDA acha kuruka ruka au wa unataka tuandike kwa kiingereza.
 
Huwezi kutenganisha upungufu na shida tumia akili yako siyo kunibwekea hovyo hovyo kwenye suala la msingi la maisha ya watu.
 
Mzee wa fact upungufu husabibisha shida. Unaweza tumia maneno mengi kuzunguka pale pale.
Hana fact zozote anafanya siasa kwenye masuala ya msingi. Serikali imehamia Dodoma since 2016, zaidi ya miaka 8 still maji hayapo. Tunapata maji mara 1 kwa wiki tena kwa shida. Wakati mwingine tunapata maji baada ya wiki 3 au 4.
 
Nitajie mji wowote Tanzania ambao mitaa yote ina uhakika wa kupata maji 24/7 kwa mwakamzima😀😀 tumalize ubishi.
 
Nitajie mji wowote Tanzania ambao mitaa yote ina uhakika wa kupata maji 24/7 kwa mwakamzima😀😀 tumalize ubishi.
Mkuu hapa hatulinganishi huduma za maji katika miji bali mimi nimezungumzia shida ya maji Dodoma ambapo wewe umesema hakuna shida ila kuna upungufu. Ndio maana mimi na wadau wengine tunakupinga.
 
Nitajie mji wowote Tanzania ambao mitaa yote ina uhakika wa kupata maji 24/7 kwa mwakamzima😀😀 tumalize ubishi.
Kubali kwanza kuwa hoja yako ilikuwa ya uongo ndo mtu aje na justification. Ukiri kuwa akili huna na Hauna fact unapiga pang'ang'a tu kuwadanganya watu wa size yako.
 
Mkuu hapa hatulinganishi huduma za maji katika miji bali mimi nimezungumzia shida ya maji Dodoma ambapo wewe umesema hakuna shida ila kuna upungufu. Ndio maana mimi na wadau wengine tunakupinga.
Hujajibu swali...
Hakuna mji wowote Tanzania ambao unapata maji 24/7 .Changamoto ya upatikanaji wa maji zipo kotekote kinachotofautisha ni kiwango tu cha changamoto .
Dom kuna mitaa maji yanatoka kilasiku mfano Makulu,Mkalama,Oysterbay n.k kwasababu ipo karibu na tanki la kusambazia maji kule juu Mlimani karibu na kambi ndogo ya Jeshi,ipo mitaa mingine maji yanatoka mara nne kwa wiki,mingine maratatu kwa wiki na mingine mara mbili kwa wiki.
Hiyo ni "changamoto" sio "shida"
 
Wewe unafeli sana, hueleweki changamoto(challange) hubainika kitaalamu patapokuwa na mapungufu( gaps) mbayo hupelekea jambo fulani kutokwenda vizuri. Mapungufu husababisha SHIDA kwa mtu wa mwisho anayekusudiwa kufaidika na huduma hiyo. Na changamoto ndizo zinatufanya kutengeneza mpango MKAKATI ili kuziondoa. Unatenganisha vipi shida ya maji penye upungufu wa huduma hiyo kwa mwananchi. Kichwa yako itakuwa Ina zero brain wale jamaa zako wanaokimbia bila utaratibu kule mbugani wanaitwa nyumbu Huwa ni zero brain.
 
Ilemela ni sehemu gani kuna shida ya maji? jibu swali acha ujinga
 
Unaishi jamii forum kwamba hata utumbo unaouandika wewe kwa jina takatifu la fact tuchukulie kuwa reference ya mabishano haya. Unakwama sana nilijua the sunk cost fallacy a.k.a ChoiceVariable anashida kumbe wewe ndo kimeo kabisa.
 
Wanakimbia Kuna na vihotel vyao tungewapasua vipande vipande.
 
Dom ni mfano wa kuigwa kwenye ubora wa mipangomiji na miundombinu East Africa yote. Ni wakati sahihi sasa Mwanza waende kujifunza Dom. Ukifika Mwanza unapokelewa na vijumba,slums kama mabanda ya nguruwe kule juu milimani😀😀.Mtaa pekee angalau uliopangiliwa ni Kapri Point kwingine kote kumechanganyika na uswahilini.
Mwanza wana safari ndefu sana kuja kufikia level za Dom( na ukizingatia Serikali wanawapendelea sana miradi mingi Dom) huo ndio ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…