Kwenye masafara na wewe umo kaza fuvu dogo akili utakutana nayo uzeeni.Yaani wewe unabisha ilimradi na wewe uonekane unabishana na "genius" kama mimi😀😀.
Nani kakwambia Dom hakuna skyscrapers 😀😀.
Yaani wewe na wenzako mnapewa "facts" mnashindwa kukubali matokeo alafu nyie mnataka tugeuze hii thread kama album ya picha.Hamtutoi kwenye reli aisee sisi
sio wapiga picha 😀😀.Yaani unataka mtu kwamfano aende Magufuli City alafu apige picha ya kila ghorofa pale atume humu ndio uanze kubishana na wewe kwa kutuma picha ya Mwanza😀😀.Ipo siku utakuja kusema unataka picha ya Ikulu yote 😀😀.
Mijadala huwa inajibiwa kwa hoja kwa hoja, facts kwa facts ndiomana kule ITV wana kipindi kinaitwa malumbano ya hoja sio malumbano ya picha kwa picha...🤣🤣