Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

IMG70.jpg
IMG73.jpg
IMG72.jpg

The rock city
 
Msamehe Sasa mwamba hatarudia kubishana na jiji la pili kwa mapato na uzuri Tanzania jiji la mwanza 🙏🙏🙏nakuomba sana msamehe 😆😆😆😆
 
Hapo kuna kule Rufiji minazi inanyanyuka mingi balaa balaaa yule samike namba 2 anaenda 13f,Nyerere Road project ya NHC kijiko kimeshamaliza kubomoa hapo ni 18f, Lumumba nako NHC na wabia wanakichafua Skyline ya CBD inaenda kubadirika kabisa, bila kusahau gana nako pako 🔥 kuna jengo la 11f linanyanyuka,
Wakibisha tunachapa projects zote za town halafu waendelee kujaza mafuvu.
 
Watakuletea Nyumba za Ilazo, mara utaambiwa Dodoma imepangwa yote, utaletewa vigorofa vya mtumba
Mnachekesha sana aisee naona mmeamua kujijibu wenyewe..😂😂😂.
Sisi Mawakili ili ushinde kesi mahakamani lazima uwasilishe hoja zenye facts ili Judge akupe ushindi sio u-present picha za kuedit ndiomana ushahidi wa picha au video za kutengeneza huwa haukubaliki mahakamani😀😀.
Unazungumzia maghorofa ukifika Dom ni balaa😀😀.Idadi ya maghorofa yote ya Udom na colleges zake zote ni sawasawa na maghorofa yote ya Mwanza City Centre.
Na hapo bado sijakutajia maghorofa ya Tambukareli,Mji Mpya,One- way,Nyerere Square,Njedengwa Investment Area,Kisasa,Uzunguni,Area D,Mlimwa C,Miyuji,Magereza,NHC,Itega,Magufuli City n.k
 
Back
Top Bottom