ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezaliwa nimekulia na kusomea Mwanza, najua kila kona.Mwanza huijui vizuri aiseee nipo huku dar ila mwanza ndo nitaweka makazi yangu ya kudumu mwanza kwa asieijua anaweza ropoka ila duuh mwanza kisanga
Mwanza nyingine sio hii ninayoijua bro mwanza ni jiji linalokuwa kwa Kasi sanaNimezaliwa nimekulia na kusomea Mwanza, najua kila kona.
Msamehe Sasa mwamba hatarudia kubishana na jiji la pili kwa mapato na uzuri Tanzania jiji la mwanza 🙏🙏🙏nakuomba sana msamehe 😆😆😆😆
Msamehe Sasa mwamba hatarudia kubishana na jiji la pili kwa mapato na uzuri Tanzania jiji la mwanza 🙏🙏🙏nakuomba sana msamehe 😆😆😆😆
Msamehe Sasa mwamba hatarudia kubishana na jiji la pili kwa mapato na uzuri Tanzania jiji la mwanza 🙏🙏🙏nakuomba sana msamehe 😆😆😆😆
Watakuletea Nyumba za Ilazo, mara utaambiwa Dodoma imepangwa yote, utaletewa vigorofa vya mtumbaView attachment 3122608View attachment 3122609
Ngoja nimpasue nazo hizi mbili. Tumewaambia watujibu kwani tupo tayari kuwajibu.
Hapo kuna kule Rufiji minazi inanyanyuka mingi balaa balaaa yule samike namba 2 anaenda 13f,Nyerere Road project ya NHC kijiko kimeshamaliza kubomoa hapo ni 18f, Lumumba nako NHC na wabia wanakichafua Skyline ya CBD inaenda kubadirika kabisa, bila kusahau gana nako pako 🔥 kuna jengo la 11f linanyanyuka,
Wakibisha tunachapa projects zote za town halafu waendelee kujaza mafuvu.Hapo kuna kule Rufiji minazi inanyanyuka mingi balaa balaaa yule samike namba 2 anaenda 13f,Nyerere Road project ya NHC kijiko kimeshamaliza kubomoa hapo ni 18f, Lumumba nako NHC na wabia wanakichafua Skyline ya CBD inaenda kubadirika kabisa, bila kusahau gana nako pako 🔥 kuna jengo la 11f linanyanyuka,
Hawa ninao nafikiri wanausoma mchezo vile unawaendea vibayaWatakuletea Nyumba za Ilazo, mara utaambiwa Dodoma imepangwa yote, utaletewa vigorofa vya mtumba
Wana Dodoma jengo linalojengwa hapa Hata PAPU wenu wa Arusha anaenda kukaa
Watakuja na Story zao za Dodoma kuna mtandao mkubwa wa lami, mara mji umepangwa 🤣Hawa ninao nafikiri wanausoma mchezo vile unawaendea vibaya
Mnachekesha sana aisee naona mmeamua kujijibu wenyewe..😂😂😂.Watakuletea Nyumba za Ilazo, mara utaambiwa Dodoma imepangwa yote, utaletewa vigorofa vya mtumba