Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwenye Balozi na Taasis zinginezo kuhamia Dodoma wala Sio Mwanza itakayo pungukiwa fursa labda kama mna utani na watu wa Daslam, Mwanza inambio zake na mapitio yake naona mmeanza kuisema Daslam
 
Uzi umetembea mapage mengi kweli lakini hakuna la maana mnalojadili zaidi ya kubishania ujinga tu. Laiti hayo mabilioni yote wanayoyamwaga kwenye hiyo mikoa yenu wangeipa Tanga, Leo hii tungekuwa tunazungumzia Jiji lenye hadhi sawa na Dar es salaam pamoja na miundo mbinu na Mipango miji iliyo Bora zaidi.
 
Hela zinazozikwa Jangwani Dodoma bora hata wangezipeleka Tanga tungepata mji mwingine mzuri wenye hali ya hewa nzuri, mandhari ya kuvutia
 
Huna facts wewe ..una porojo tu zimekujaq
 
Barabara za lami Dom wanapendelewa sana aisee ...yaani wana mtandao mpana wa barabara za lami na bado kilasiku zinaongezeka.Mshindani wa Dom kwenye barabara za lami ni Ilala.
Mwanza wakajilinganishe na Singida labda🤣🤣🤣🤣
Ilala IPI uilinganishe na Dodoma wewe ni ng'ombe sana mwanza mtandao wa barabara unaanza kusukwa mfano barabara ya Airport Hadi nyaguge km 46 igoma Hadi buhongwa mkandalasi yupo site nyamhongolo Hadi buswelu km 9 pia tuna mradi wa soko la kirumba na mkuyuni jumlisha na buswelu hivyo masoko yote haya yakikamilika mwanza itakuwa na masoko ya kisasa mengi Tanzania nje ya Dar barabara upo mpango mahususi na Juzi waziri wa Tamisemi amezungumza wakati akishuhudia utiaji Saini wa ujenzi wa masomo ya kisasa ya kirumba na mkuyuni ,,,hiyo ring road ya Dodoma sio kitu kwa mwanza sie huku tuna daraja la zaidi ya bilioni 700 🤣🤣🤣🤣habari chungu sana hii kwa wanaukame village fc mwanza ndo mkoa wenye mradi mkubwa unaotumia fedha nyingi sana Tanzania ndani ya mkoa mmoja tu ambao ndo huo ujenzi wa daraja kwa hiyo kwa vyovyote ujenzi wa miundo mbinu mwanza serikali haitakwepa kutokana na ukubwa wa mkoa huu kuanzia mapato Hadi idadi ya watu nyie Dodoma kupewa vijengo vya bilioni 10 mnajiona vijeba mwanza Kuna jengo la hotel ya nyota Tano kapripoint limetumia bilioni 100 Hilo ni jengo Moja na private sector construction industry mwanza IPO active sana soon mwanza itabeba taaswira nyingine ambayo watu wengi hawataamini🤣🤣🤣🤣
 
Hii nayo ni hotel au kituko tu, hii hotel ni sawa na Musabe schools tu
🤣🤣Mwanza na Kanda ya Ziwa yote hakuna hoteli yoyote yenye ukubwa kama wa St Gaspar Hotel & Conference Center.
St Gaspar Hotel- kumbi za conference centers zaidi ya 10 eneo moja, parking kubwa inayotosha kupaki magari zaidi ya 1000 nitajie hoteli yoyote Mwanza yenye ukubwa huo😂😂😂
 
Kawadanganye washamba wenzako hizo porojo yaani unajitutumua kuongelea vitu ambavyo hata ujenzi haujaanza 😂😂. Wenzenu Dom miradi yao yote ni utekelezaji tu sio siasa🤣🤣👇👇
-Ring road ipo 50%
-Uwanja wa Kimataifa msalato upo 70%
-Barabara za mitaani hizo ndio balaa kilasiku zinajengwa mpya
-TANROADS hq ujenzi upo 80%
-TBS hq ujenzi upo 80%
-Tume ya Umwagiliaji ujenzi upo 60%
-Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ujenzi upo 80%
N.k 😂😂😂
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga eti...Hii thread inahusu Jiji la Mwanza sio mkoa wa Mwanza 😂😂Daraja la Kigongo-Busisi linaunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema.
 
Wewe ni pimbi tu
 
Kwani nani kakwambia hakuna miradi iliyosimama mwanza hujui kaa kimya huku Kuna 1.ujenzi wa bandari ya mwanza south unaendelea 🤣🤣🤣
2.ujenzi wa bandari ya north mwanza unaendelea zaidi ya bilioni 24 za kuanzia zimetolewa na TPA 3.ujenzi wa meli kubwa kupita zote katika maziwa makuu ujenzi upo asilimia 99 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
4.ujenzi wa daraja la kigongo busisi ujenzi upo asilimia 93 🤣🤣🤣🤣
5.ujenzi wa soko la kisasa mjini kati zaidi ya asilimia 90🤣🤣🤣🤣
6.ujenzi wa barabara ya igoma buhongwa ujenzi umeshaanza na upo asilimia 20
🤣🤣🤣🤣
7.ujenzi wa jengo la uwekezaji TIC ujenzi upo asilimia 82.🤣🤣🤣
8.upanuzi wa Airport ujenzi unaendelea 🤣🤣🤣. Kiufupi mwanza is the rising giant of east Africa ..hii ni habari chungu sana kwa Wana ukame village fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…