Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Hapo ni kijimtaa tu katika jiji la dodoma ingekuwa ni Mwanza CBD yote na makorokoro yote mpaka kapripoint na rock city mall si ajabu zinge-appear hapa
Hapa ndio Dom mjini. Huo mtaa ndio maarufu unaitwa kuu Street,Second biggest city in Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani uhusiano wa bangi na sisim ni upi
Hiii ni kata ya wauza zabibuView attachment 2083765
Eti kijimtaa sasa Downtown ndio wapi [emoji1787][emoji1787] tatzo mmegoma kuleta pichaHapo ni kijimtaa tu katika jiji la dodoma ingekuwa ni Mwanza CBD yote na makorokoro yote mpaka kapripoint na rock city mall si ajabu zinge-appear hapa ndani ya picha moja
Dom vs Nairobi ?Ingia jukwaa la Kenya utazikuta,kuna Uzi wa Dom vs Nairobi
Of course,cheki video hii hapa ya DomπDom vs Nairobi ?
Mkuu usitume Tena zimetosha asee, utawauwa hawa jamaa zimetosha mkuu wangu[emoji23]Uzi naufungia hapa wanamwanza tusitume tena picha tumewaboost vya kutosha View attachment 2083891View attachment 2083893View attachment 2083894View attachment 2083895View attachment 2083897View attachment 2083899View attachment 2083900View attachment 2083901View attachment 2083902View attachment 2083903View attachment 2083904View attachment 2083905View attachment 2083906View attachment 2083907View attachment 2083908View attachment 2083909View attachment 2083910View attachment 2083911View attachment 2083912View attachment 2083913View attachment 2083914View attachment 2083915
Mwanza mkifika hapa mnitagπMkuu usitume Tena zimetosha asee, utawauwa hawa jamaa zimetosha mkuu wangu[emoji23]
Mkuu samahani we ni mwehu[emoji23], sasa hapo ni niniMwanza mkifika hapa mnitag[emoji116]
Kijiji chenu chote kipo hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza mkifika hapa mnitag[emoji116]
Hauko " siriaz " wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Of course,cheki video hii hapa ya Dom[emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu samahani we ni mwehu[emoji23], sasa hapo ni nini
Dodoma sio sawa na kijiji cha wavuvi cha Mwanza,kwamba hiyo picha inaonyesha Medeli,kisasa,ihumwa,mtumba,nzunguni,Mkonze nk ?Kijiji chenu chote kipo hapa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2084001
[emoji1787][emoji1787] mwisho nimewatumia na sato original ili mate yawatokeMkuu usitume Tena zimetosha asee, utawauwa hawa jamaa zimetosha mkuu wangu[emoji23]
Dogo wapi,hapo ndio Mwanza imeishia hivyo kunakobakia ni slums kama zote ππHalafu hii ni moja ya eneo dogo la jiji la mwanza sasa wewe helater jilinganisheView attachment 2084012
Haya ni mapambio yako yasiku zote hiyo dodoma ina gdp ya ngapi na mwanza ni ya ngap na ina gdp ya kiasi gani, ukimaliza hii report yako leta na hile nyingine ya 2012.
Wewe unaakili za kuvukia barabara Hapo downtown mitaa ya matajiri ipo haipo karibu na city center ukitoa Capri point sehemu za mataita ni kama bwiru,kiseke,nyasaka,mahina,mwananchi,busweru,nyamongoro,kakebe,buhongwa(majengo)mkolani,nyegezi sijui umenipataDogo wapi,hapo ndio Mwanza imeishia hivyo kunakobakia ni slums kama zote [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] hapo umeiona buswelu?, Umeiona nyasaka hapo?, Umeiona bwiru hapo?, Hapo umeiona Ghana, umeiona mission hapo, pasiansi umeiona hapo au umeona hata sehemu ndogo ya kiseke hapo? Au umeona kuna airport hapo? Au umeiona kirumba hapo?Dogo wapi,hapo ndio Mwanza imeishia hivyo kunakobakia ni slums kama zote [emoji16][emoji16]