Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hapo ni kijimtaa tu katika jiji la dodoma ingekuwa ni Mwanza CBD yote na makorokoro yote mpaka kapripoint na rock city mall si ajabu zinge-appear hapa

Second biggest city in Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani uhusiano wa bangi na sisim ni upi

Hiii ni kata ya wauza zabibuView attachment 2083765
Hapa ndio Dom mjini. Huo mtaa ndio maarufu unaitwa kuu Street,
Kale kaghorofa karefu ndio hoteli imejengwa siku hizi,
Nyerere Square iko hapo
Uwanja wa ndege upo hapo
Maeneo ya are c na area d nayo yanaonekana pia.

Yaani ile mitaa ya rufiji, Uhuru, mkanyenye, ina ghorofa nyingi kushinda CBD ya Dodoma. Ndio maana hawaleti picha, sisi tulioishi dodoma tunauchuna hatutaki kuwaabisha.
 
Hapo ni kijimtaa tu katika jiji la dodoma ingekuwa ni Mwanza CBD yote na makorokoro yote mpaka kapripoint na rock city mall si ajabu zinge-appear hapa ndani ya picha moja
Eti kijimtaa sasa Downtown ndio wapi [emoji1787][emoji1787] tatzo mmegoma kuleta picha
 
Mwanza aka Miami [emoji1787][emoji1787] kuna watu wanateseka
Screenshot_20220116-164544.jpg
 

Attachments

  • Mountain%20Top%20Neighbourhood.JPG
    Mountain%20Top%20Neighbourhood.JPG
    408.2 KB · Views: 22
Samahani kwa kurudia picha ndugu zangu Ila hii view ni[emoji91][emoji91][emoji91]
JamiiForums1711444762.jpg
 
Halafu hii ni moja ya eneo dogo la jiji la mwanza sasa wewe helater jilinganishe
JamiiForums-1444239056.jpg
 
Dogo wapi,hapo ndio Mwanza imeishia hivyo kunakobakia ni slums kama zote [emoji16][emoji16]
Wewe unaakili za kuvukia barabara Hapo downtown mitaa ya matajiri ipo haipo karibu na city center ukitoa Capri point sehemu za mataita ni kama bwiru,kiseke,nyasaka,mahina,mwananchi,busweru,nyamongoro,kakebe,buhongwa(majengo)mkolani,nyegezi sijui umenipata
 
Dogo wapi,hapo ndio Mwanza imeishia hivyo kunakobakia ni slums kama zote [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] hapo umeiona buswelu?, Umeiona nyasaka hapo?, Umeiona bwiru hapo?, Hapo umeiona Ghana, umeiona mission hapo, pasiansi umeiona hapo au umeona hata sehemu ndogo ya kiseke hapo? Au umeona kuna airport hapo? Au umeiona kirumba hapo?
 
Back
Top Bottom