Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hapo ni kijimtaa tu katika jiji la dodoma ingekuwa ni Mwanza CBD yote na makorokoro yote mpaka kapripoint na rock city mall si ajabu zinge-appear hapa
Hapa ndio Dom mjini. Huo mtaa ndio maarufu unaitwa kuu Street,Second biggest city in Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani uhusiano wa bangi na sisim ni upi
Hiii ni kata ya wauza zabibuView attachment 2083765
Kale kaghorofa karefu ndio hoteli imejengwa siku hizi,
Nyerere Square iko hapo
Uwanja wa ndege upo hapo
Maeneo ya are c na area d nayo yanaonekana pia.
Yaani ile mitaa ya rufiji, Uhuru, mkanyenye, ina ghorofa nyingi kushinda CBD ya Dodoma. Ndio maana hawaleti picha, sisi tulioishi dodoma tunauchuna hatutaki kuwaabisha.