Feke b kidume
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 183
- 100
ficha ujinga wako wewe MEMKWA tangulini shirika la ndege ATCL likajenga uwanja wa ndege😀😀😀. Viwanja vya ndege vyote Tanzania vipo chini ya TAA.
😀😀😀Tumia ID yako ya sikuzote manake hii unayotumia inaonesha umejoin JF mwezi uliopita....utaendelea kuaibika tu🤣
Nikupe elimu kidogo we ndondocha kwa taarifa Yako ATCL na TAA wanafanya kazi kwa karibu sana ATCL wanaweza kutoa mapendekezo TAA wakayafanyia kazi Juzi Juzi ladslaus matindi mkurugenzi wa ATCL amesema uwanja wa ndege wa mwanza kutajengwa vvip lounge kubwa sana yeny migahawa ya kifahari na akasema Mwanza ni mkoa wao wa kimkakatificha ujinga wako wewe MEMKWA tangulini shirika la ndege ATCL likajenga uwanja wa ndege😀😀😀. Viwanja vya ndege vyote Tanzania vipo chini ya TAA.
😀😀😀Tumia ID yako ya sikuzote manake hii unayotumia inaonesha umejoin JF mwezi uliopita....utaendelea kuaibika tu🤣🤣
Mwambie kilaza wa ukameni village akuletee view kama hii ataokoteza vijengo vya wizara uchwara na kukuletea 🤣🤣🤣View attachment 3132560
Nera, a new upcoming CBD
Mnajitutumua? 😁😁Hakuna kitu hapo ni Giza Giza tu mwanza ni balaaa kubwa 🤣🤣🤣
Ikiwa huna data +facts utakimbia tu wewe nenda kwenye ile thread yenu ya picha na michambo😀Kuna muda naamua niachane nao tu na huu Uzi ni uignore
😀😀what...!!? a new upcoming CBD with unattractive/disfigured background 🤣🤣🤣🤣View attachment 3132560
Nera, a new upcoming CBD
Your eyes can't see anything bcoz your mind mimics/ imitates your own vision, a typical characteristic of most idiots.😀😀what...!!? a new upcoming CBD with unattractive/disfigured background 🤣🤣🤣🤣
Childish ...umeishiwa hoja hadi unaanza kujadili hali ya hewa ambacho ni kitu natural😀😀.Ukame village View attachment 3132809
Hakuna jipya hapo 🤣 🤣🤣 Mwanza beaches ziko 🔥 I love mwanzaChildish ...umeishiwa hoja hadi unaanza kujadili hali ya hewa ambacho ni kitu natural😀😀.
Kajadili hali ya hewa ya Dubai alafu uje ulinganishe
Leta sehemu kama hii nje ya CBD tamu kama hii hapo ukameni village 🤣🤣🤣🤣🤣😀😀what...!!? a new upcoming CBD with unattractive/disfigured background 🤣🤣🤣🤣
Facts Gani nyie vilaza tu mara ngapi mmeombwa picha Kali za ukameni village halafu nyie Kila siku mnatuma matangazo ya madalali wa viwanja mnadhani sie tunataka viwanja vya ukameni village 🤣🤣🤣🤣🤣 nani Aishi ukameni?🤣🤣🤣🤣Ikiwa huna data +facts utakimbia tu wewe nenda kwenye ile thread yenu ya picha na michambo😀
Pole sana! Maumivu ni makali sana kunywa maji mengi, by the way Dubai ulinganishe na nyie ombaomba wa Dodoma itakuwa maajabu ya karne.Childish ...umeishiwa hoja hadi unaanza kujadili hali ya hewa ambacho ni kitu natural😀😀.
Kajadili hali ya hewa ya Dubai alafu uje ulinganishe
Niambie hali ya hewa ya Dubai,Cairo,Windhoek, Tunis,Alexandria kamamweli umesoma geography ...😀😀Pole sana! Maumivu ni makali sana kunywa maji mengi, by the way Dubai ulinganishe na nyie ombaomba wa Dodoma itakuwa maajabu ya karne.
Wewe kweli ni "amateur" hujui kitu chochote...ebu nipe hiyo link inayoonesha ATCL wanajenga Airport lounge ya Mwanza😀😀.Uwiiiiiiiiii🤣🤣🤣😃wewe bwabwa kweli ngoja nikutafutie link mshamba wewe duuuh amesema wanajenga airport lounge ya kisasa sana kwa kushirikiana na TAA JF imekushinda huna jipya🤣🤣🤣🤣 Mwanza mwendo mdundo na bado nyie vilaza wa ukameni village 🤣🤣🤣🤣🤣
Hujui kitu 🤣🤣🤣🤣ATCL ni shirika la ndege la serikali unalitenganisha vp na TAA eti na wewe unajiita mjanja duuuuuuuuh hili ni janga la Karne🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe kweli ni "amateur" hujui kitu chochote...ebu nipe hiyo link inayoonesha ATCL wanajenga Airport lounge ya Mwanza😀😀.
Mwenye dhamana ya viwanja vya ndege ni TAA. ATCL,AURIC AIR,COASTAL AIR haya ni makampuni ya biashara ya ndege hayahusiki na ujenzi wa viwanja .
Hali ya hewa ya ukameni ni joto lilichanganyikana na tope na vumbi iondoe Dubai kwenye huu Uzi hapa ni CBD ya mwanza na CBD ya ukameni 🤣🤣🤣🤣 villageNiambie hali ya hewa ya Dubai,Cairo,Windhoek, Tunis,Alexandria kamamweli umesoma geography ...😀😀
Sema rufiji street vs Dodoma cbd
Sema rufiji street vs Dodoma cbd