Kitu ambacho hukijui ni kwamba, NHC kupitia JV wana heavy projects kama 8 ndani ya CBD, Gorofa zinakula nyundo then zinanyanyuliwa scraper mojawapo inaenda 22f nyerere road jirani na Nyerere plaza, Mkabala na central market kuna site mbili zote zinaenda 12f,na maeneo mengine, NHC mitaa ya rufiji kuna nyumba 6 zinakula nyundo na wapangaji wameshahama project ni hospital, NHC wamechukua eneo maeneo ya kigongo karibu na daraja projects Samia scheeme 1000houses zote flats, Bugando hospital wana project mbili, mojaa ni 8f na nyingine ni 15f, Ilemela maeneo ya sangabuye kuna projects zinaendelea, Nyamhongoro wana project ya green and smart city, TBA gana wana blocks nane, moja inaenda kukamilika mbili zina 1f now, Mkabala na rocky city malls kuna project ya 11f,nyie endeleeni kujidanganya, Mwanza haiwezi poa hata kidogo,