Kuhamia lini zungumzia kwa sasa, kila mkoa una mipango yake acha wenge basi dogo. Usikaze sana Hilo fuvu uwe unaelewa tunamaanisha Nini. Kila mahala serikali Ina jambo lake la kufanya hatuzungumzii maandishi kwenye makaratasi , tunazungumza kilichopo kwa sasa. Acha ujuha bhanaHujajibu swali unazunguka tu...ngoja nikuongezee na fact nyingine 👇👇
Bunge la Jumuiya ya Madola Afrika kuhamia Jijini Dodoma
BUNGE la Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (Common Wealth Parliamentary Association in Africa-CPA) linatarajia kujenga makao makuu yake katika Jiji la Dodoma. Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa kamati ya uwekezaji ya Bunge la Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika, Justin Muturi alipoongoza kamatiwww.google.com