Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hujajibu swali unazunguka tu...ngoja nikuongezee na fact nyingine 👇👇

Kuhamia lini zungumzia kwa sasa, kila mkoa una mipango yake acha wenge basi dogo. Usikaze sana Hilo fuvu uwe unaelewa tunamaanisha Nini. Kila mahala serikali Ina jambo lake la kufanya hatuzungumzii maandishi kwenye makaratasi , tunazungumza kilichopo kwa sasa. Acha ujuha bhana
 
Tukuletee miradi mipya inayojengwa hapa ndo ujue ujuha wako ni mzigo. Tena miradi ya wanzengo purely.
 
Umehamisha magoli tena kutoka miradi ya serikali sasahivi unataka ya private...😀😀
 
Magufuli city ni administrative area(division) au territorial unit kohoa upumbavu wako kichwani ili usafishe akili
 
😀😀Soma hiyo👇👇
IMG-20241021-WA0038.jpg
 
Magufuli city ni administrative area(division) au territorial unit kohoa upumbavu wako kichwani ili usafishe akili
Upcoming CBD in da City.

Mwisho tufanye Magufuli City Iko Mwanza maana unaumia sana ikiwa Dom 😂😂😂
 
Nb: Tunaongelea kilichopo sasa hivi
👇👇👇Tambukareli Government City as seen from above SGR 😀😀
ANGALIZO TU:Hii Tambukareli ni tofauti na Magufuli Government City na baada ya miaka michache Tambukareli itakua Dubai ndogo kwa jinsi maghorofa yanavyoporomoshwa kilasiku. Mwanza saizi yake ni Nakuru sio Dom kubalini tu matokeo🤣🤣
IMG-20241021-WA0039.jpg
 
View attachment 3131714
Acha kufananisha mza na vitu vya kijnga
 
Back
Top Bottom