Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hili hili bunge linalorushwa na tbc taifa na mara Moja Moja na Star tv ya mwanza ndo liteke attention za media zote nchini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣oya wanangu wa mwanza tumejua watu tunaobishana nao ni senseless nadhani ndo maana hospitali ya milembe IPO Dodoma na tusibishane nao Tena akili zao ni mgando sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanzo nilikuwa najua dogo ana akili kumbe ndo kiazi batata kabisa.
 
Tv zinakuwaga mpaka kwenye ziara za waheshimiwa siyo bungeni tu acha ulofa huo. Tatizo wewe unadhani tunalingana akili humu ndani. Hebu waza nje ya box basi usiwe na akili mgando. Kuwepo dodoma bungeni hakumaanishi office zake ziko Dodoma. Media zinatafuta taarifa uwe unaelewa
Bunge linakutana marangapi kwa mwaka....unajua idadi ya vikao vya Bunge kwa mwaka ambavyo vinakua covered live na media zote Tanzania 😂😂😂. DOM ni kama maji utake usitake utayatumia tu. Ikulu ipo Dom ,makao makuu ya serikali yapo Dom,makao makuu ya Chama yapo Dom,maamuzi yote makubwa nchi hii yanafanywa Dom mfano kumchagua mgombea wa Urais .Kipindi Magufuli anapitishwa na CCM kugombea Urais Media zote Tanzania zilikua Dom....sasa Mwanza kuna nini cha kupeleka media zote labda Mabatini slums🤣🤣🤣🤣
 
Usihame hame Wala sipendi kubishana na mtu ambaye hajielewi. Maamuzi makubwa ya bunge, makao makuu ya serikali hayahusiani na maada ya Dodoma kuwa na radio stations nyingi kuliko mwanza jombaa. Azam tv anarusha mechi za afcon, cecafa na zile za caf haimanishi ana ofisi zake kwenye mataifa mechi hizo zinachezewa. Nimekuambia akili yako ni ndogo mno yaani kisoda nacho nakisingizia tu. Itoshe tu kusema huna akili na haufit kubishana na Mimi.
Bunge linakutana marangapi kwa mwaka....unajua idadi ya vikao vya Bunge kwa mwaka ambavyo vinakua covered live na media zote Tanzania 😂😂😂. DOM ni kama maji utake usitake utayatumia tu. Ikulu ipo Dom ,makao makuu ya serikali yapo Dom,makao makuu ya Chama yapo Dom,maamuzi yote makubwa nchi hii yanafanywa Dom mfano kumchagua mgombea wa Urais .Kipindi Magufuli anapitishwa na CCM kugombea Urais Media zote Tanzania zilikua Dom....sasa Mwanza kuna nini cha kupeleka media zote labda Mabatini slums🤣🤣🤣🤣
 
Mwanzo nilikuwa najua dogo ana akili kumbe ndo kiazi batata kabisa.
Shida ya huyu KIMA analazimisha Dodoma iwe juu kwa kila zidi ya Mwanza, hapo ndipo anapoferi kila mji una angles zake huwezi mji ukawa juu kwa kila kitu, Dodoma wao waendelee na Ofisi zao za kiserikali na taasisi maana ni Capital city ila kwa angles zingine lazima walambe mchanga tu, Mwanza itaendelea kuwa jiji la kibiashara ukanda wa maziwa makuu, kukamilika kwa
1.Internation Airport
2.Dual carriage kutoka mwanza Zero mpaka Jpm bridge,
3.Mswahili sgr via duct
4.Dual carriage nata to Kisesa plus mabey fryover junction ya Buzuruga,
5.Dual carriage pamba road
6.Airport road to Nyanguge via igombe
7.4lanes usagara kisesa by pass
8.Usaga to fella dry port
9.Ile by pass ya kisesa to airport
10.Ujio wa manispaa mpya ya kisesa
Jiji halitakamatika hili, Wenye Chuki na mwanza wao waendelee kuchukia, Wasifikiri Dodoma kuwa capital city na majiji mengine yatapoa hapo never, Jiji ambalo halipo kwenye ramani ni Mbeya na Tanga, Ila Dodoma kwa Mwanza na Arusha bado ana mwendo sana tu,
 
Maada ndio nini.
Ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani pili uwe na facts sio ushabiki maandazi la sivyo nitakuaibisha tu kama ninavyowaaibisha wenzako😂.👇👇
Dodoma ni makao makuu ya chama na serikali .Dodoma ni source ya habari zote kubwa za nchi hii. Kwamfano Rais wa nchi huteuliwa Dom(kipindi hiki hadi vyombo vya habari vya kimataifa huruka live kutoka Dom),Waziri Mkuu hutangazwa Dodoma,Gwaride la Uhuru hufanyika Dom n.k
 
We mbawa Koko tu huna akili kwanza sihangaiki Tena kukujibu na sitaki uniqoute.
 
Maada ndio nini.
Ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani pili uwe na facts sio ushabiki maandazi la sivyo nitakuaibisha tu kama ninavyowaaibisha wenzako😂.👇👇
Dodoma ni makao makuu ya chama na serikali .Dodoma ni source ya habari zote kubwa za nchi hii. Kwamfano Rais wa nchi huteuliwa Dom(kipindi hiki hadi vyombo vya habari vya kimataifa huruka live kutoka Dom),Waziri Mkuu hutangazwa Dodoma,Gwaride la Uhuru hufanyika Dom n.k
Hayo yote Yana impact Gani na uchumi wako, au unauza ice cream?
 
Shida ya huyu KIMA analazimisha Dodoma iwe juu kwa kila zidi ya Mwanza, hapo ndipo anapoferi kila mji una angles zake huwezi mji ukawa juu kwa kila kitu, Dodoma wao waendelee na Ofisi zao za kiserikali na taasisi maana ni Capital city ila kwa angles zingine lazima walambe mchanga tu, Mwanza itaendelea kuwa jiji la kibiashara ukanda wa maziwa makuu, kukamilika kwa
1.Internation Airport
2.Dual carriage kutoka mwanza Zero mpaka Jpm bridge,
3.Mswahili sgr via duct
4.Dual carriage nata to Kisesa plus mabey fryover junction ya Buzuruga,
5.Dual carriage pamba road
6.Airport road to Nyanguge via igombe
7.4lanes usagara kisesa by pass
8.Usaga to fella dry port
9.Ile by pass ya kisesa to airport
10.Ujio wa manispaa mpya ya kisesa
Jiji halitakamatika hili, Wenye Chuki na mwanza wao waendelee kuchukia, Wasifikiri Dodoma kuwa capital city na majiji mengine yatapoa hapo never, Jiji ambalo halipo kwenye ramani ni Mbeya na Tanga, Ila Dodoma kwa Mwanza na Arusha bado ana mwendo sana tu,
😂Unachekesha sana unaongelea future projects ambazo hazijakamilika.
Angle pekee ambayo Mwanza imezidi Dom ni population hilo halina ubishi vingine vyote kuanzia MAPATO,mipango miji,master plan,mtandao wa barabara za lami,miundombinu,wingi wa maghorofa,upendeleo wa miradi mingi ya Serikali,ubora wa huduma za kijamii,uwepo wa taasisi nyingi,uwepo wa mashirika +balozi za kigeni n.k Mwanza haifiki hata robo huo ndio ukweli mchungu.
 
Prove your nonsense vividly.
 
Usihame hame Wala sipendi kubishana na mtu ambaye hajielewi. Maamuzi makubwa ya bunge, makao makuu ya serikali hayahusiani na maada ya Dodoma kuwa na radio stations nyingi kuliko mwanza jombaa. Azam tv anarusha mechi za afcon, cecafa na zile za caf haimanishi ana ofisi zake kwenye mataifa mechi hizo zinachezewa. Nimekuambia akili yako ni ndogo mno yaani kisoda nacho nakisingizia tu. Itoshe tu kusema huna akili na haufit kubishana na Mimi.
Unaotumia nguvu kubwa kupakuza hapo ukameni village lakini wapi panapelea Dodoma Haina ukubwa huo unaoikuza hakuna cha maana hapo zaidi ya omba omba na ukame nchi IPO Dar na Mwanza kidogo na Arusha 🤣🤣🤣🤣
 
😂Unachekesha sana unaongelea future projects ambazo hazijakamilika.
Angle pekee ambayo Mwanza imezidi Dom ni population hilo halina ubishi vingine vyote kuanzia MAPATO,mipango miji,master plan,mtandao wa barabara za lami,miundombinu,wingi wa maghorofa,upendeleo wa miradi mingi ya Serikali,ubora wa huduma za kijamii,uwepo wa taasisi nyingi,uwepo wa mashirika +balozi za kigeni n.k Mwanza haifiki hata robo huo ndio ukweli mchungu.
Mara Moja Moja uwe unaficha ushamba wako huyu mwamba anamanisha Kila sehemu IPO ilivyo kutokana na location yake mwanza ni center ya Afrika mashariki kijiografia kwa hiyo kibiashara inaweza kutake advantages kibiashara na kuwa jiji vibrant Afrika mashariki licha ya makao makuu kuendelea kubaki Arusha na hii itachagizwa baada ya miundo mbinu yote kukamilika ikiwemo SGR ambapo pia Kuna viaduct ya km 1.4 kuanzia eneo la mswahili chakechake Hadi kinapojengwa kituo kikubwa cha Sgr mjini kati hii itaendana na upanuzi wa barabara ya Kenyatta Hadi Daraja la kigongo busisi duuuh hapa wanaukame village kunyweni maji kidogo kwanza ili kushusha presha🤣🤣🤣🤣🤣haya naendelea katika eneo la fela kunajengwa kituo cha Sgr kikubwa kikiambatana na ujenzi wa bandari kavu kwa ajili ya mizigo ya nchi jirani mfano Uganda na tayari TPA Wana hekari 500 kwa ajili ya mradi huo ,,,wanaukame village niendelee nisiendelee basi nimalizie tu kuwa Kuna hii meli ya mwanza south eeee bana eee mdude Fulani mkubwa mkubwa unaowatoa roho ukameni village a.k.a mafinyo mafinyo poleni ndugu zetu tatizo hamna ziwa ila mna jangwa jitahidini hata mpate mto wa kudanganyia ,,, mwanza ni jiji poa sana hao akina Mbeya wabaki kushindana na njombe ukoo japo wapuuzi wa huko wailazimisha mwanza ifanye Mauaji ya kukusudia ipate mada kesi jishikilieni mwanza sio saizi yenu akiwemo huyo anayewatuma kubattle na jiji la miamba mwanza mwanza huyo jangwani jungle a.k.a ukameni village 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shida ya huyu KIMA analazimisha Dodoma iwe juu kwa kila zidi ya Mwanza, hapo ndipo anapoferi kila mji una angles zake huwezi mji ukawa juu kwa kila kitu, Dodoma wao waendelee na Ofisi zao za kiserikali na taasisi maana ni Capital city ila kwa angles zingine lazima walambe mchanga tu, Mwanza itaendelea kuwa jiji la kibiashara ukanda wa maziwa makuu, kukamilika kwa
1.Internation Airport
2.Dual carriage kutoka mwanza Zero mpaka Jpm bridge,
3.Mswahili sgr via duct
4.Dual carriage nata to Kisesa plus mabey fryover junction ya Buzuruga,
5.Dual carriage pamba road
6.Airport road to Nyanguge via igombe
7.4lanes usagara kisesa by pass
8.Usaga to fella dry port
9.Ile by pass ya kisesa to airport
10.Ujio wa manispaa mpya ya kisesa
Jiji halitakamatika hili, Wenye Chuki na mwanza wao waendelee kuchukia, Wasifikiri Dodoma kuwa capital city na majiji mengine yatapoa hapo never, Jiji ambalo halipo kwenye ramani ni Mbeya na Tanga, Ila Dodoma kwa Mwanza na Arusha bado ana mwendo sana tu,
Huwezi Kuta media za Kimataifa zinafanya video Mwanza is Slum 🤣🤣

Dom HQ 👇👇

View: https://youtu.be/Hqhlfn-SjhM?si=JGfFX56WUAnOVtp3
 
Mwanzo uliita wandishi wa kimataifa ila jamaa Kuna mahala ubongo haujafungwa vizuri mahala pake
 
Back
Top Bottom