Hakuna kitu hapo jomba
Mwanza mkijivunia floor 3 ,Nzega wao watajivunia nini? 😂😂😂View attachment 3146899
Picha ilichukuliwa 25/3/2024 mpaka muda huu Kuna floor tatu na Bado chuma kinapanda.
Subirieni kazi ianze ndio muwena post,mradi uko kwenye makaratasi tena wa ufadhili wasipotoa pesa Je? 😆😆😆😆
Mwanza mkijivunia floor 3 ,Nzega wao watajivunia nini? 😂😂😂
Anyway leta projects kama hizi 👇👇
View: https://youtu.be/uYKwPKJ5ci8?feature=shared
Mwanza mkijivunia floor 3 ,Nzega wao watajivunia nini? 😂😂😂
Anyway leta projects kama hizi 👇👇
View: https://youtu.be/uYKwPKJ5ci8?feature=shared
Hizi ni dalili za Mwanza kuishiwa yaani Unafurahia makaratasi?
Mwanza nzima hakuna mtaa kama huo achilia mbali lamiVumbi la Mkalama sio poa hamna lami bora ukajenge Miganga we mtu mfupi mweusiii