Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza bado ipo juu, ijapokuwa ni Kwa muda mfupi tu
Mwanza bado ipo juu, ijapokuwa ni Kwa muda mfupi tu
Ongea Kwa facts sio Kwa hisia.Mwanza ipo Juu Kwa Dom Kwa kipi hasa?

-Inazidiwa Mapato ya Jiji na TRA
-Inazidiwa ubora wa miundombinu
-Inazidiwa ubora na Wingi wa Huduma za jamii
-Inazidiwa Kwa kukosa Airport ya Kisasa
-Inazidiwa viwanda na Dodoma

Hiyo Mwanza labda Iko Juu ya Mawe πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1885253086027055387?t=1Xce-we55PQee57L5se__g&s=19
 
Ilo jenga linaweza kuwa ndani ya top 3 ya majengo yenye mvuto nchini Tanzania, hongereni lakini Dodoma mnaongoza kwa Mbeleko kila jengo zuri dodoma ni la serikali.
Hamna kitu ..unasifia penye hamna...
 
Ilo jenga linaweza kuwa ndani ya top 3 ya majengo yenye mvuto nchini Tanzania, hongereni lakini Dodoma mnaongoza kwa Mbeleko kila jengo zuri dodoma ni la serikali.
-Kuna Jengo la Mahakama kuu
-TCRA HQ
-NSSF Commercial Complex
 
Ilo jenga linaweza kuwa ndani ya top 3 ya majengo yenye mvuto nchini Tanzania, hongereni lakini Dodoma mnaongoza kwa Mbeleko kila jengo zuri dodoma ni la serikali.
Majengo yote mazuri na marefu miji yote Tanzania ni ya serikali/taasisi za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…