Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kichekesho..🀣🀣 hii inazidiwa hadi na Wajenzi four ways yenye taa za kuongozea magari na screen kubwa kila upande wa barabara.
Image speak louder than words
 
Jiji la Mwanza limebanana na serikali Kwa miaka imepatenga sana kwenye maendeleo. Dodoma iko mbali sana sasa hivi
 
Jiji la Mwanza limebanana na serikali Kwa miaka imepatenga sana kwenye maendeleo. Dodoma iko mbali sana sasa hivi
Ipo mbali wapi mawinguni au
Hivi ndio mbali?!πŸ‘‡
 
Huyo anataka kuuza viwanja. wenye D mbili tunaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…