Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Naona umetengeneza page yako instagram upate engagement
πŸ‘‡
Weka mbali na vitoto

View: https://youtu.be/_aXFpZe7ao8?si=EYjSv5sfKi5Gnw8C
Dah mwanza jiji tamu sana 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 walete city center ya Dodoma walinganganishe na hapa mjinga pekee nde anaidharau mwanza ila shughuli yake sio ndogo nawaza serikali ingeweka nguvu kama ya Dodoma hivi mwanza ingekuwaje licha serikali kuhamia Dodoma lakini mwanza bado ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Unachokaje mapema hivi bwashee? Bado Hadi useme πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://youtu.be/jtDpV2bTh1k?feature=shared
Hakuna kitu hapo mwanza ni habari nyingine unatumia nguvu kubwa kuibrand Dodoma lakini bado ni mji wa kiboya sana🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mwanza haitangazwi kama Dodoma inajitangaza yenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kuchekesha yaani natamani ipigwe picha ya juu ya usiku ya mwanza na ya Dodoma utakuja kusutwa we mshamba mandazi mwanza wengi hawaijui kwa sababu ya jiografia yake lakini ukweli mchungu ni kwamba mwanza ni los Angeles ya kibongo bongo Kuna mahekali ya kisasa yanajengwa mitaa ya bwiru ,kapripoint na kiseke etc duuh mwanza ni jiji la pili baada ya dar kwa kuwasha taa usiku Dodoma ikojoe ikalale hiki ni kikao cha wakubwa wa nchi hii yaani Dar na mwanza na Arusha kwa mbaaaaali mbeya hata asisogee kabisaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tahadhari. Linki za Choicevariable zinakusanya taarifa zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…