By the time it was micro ila Kwa Sasa ni viwanda vikubwa venue uwekezaji wa mabilioni.Kawaulize Jiji la Dodoma kwanini viwanda vyao vya alzeti ni micro na hiyo takwimu ni ya Jiji na ililetwa na mbunga mwenzio.
By the time it was micro ila Kwa Sasa ni viwanda vikubwa venue uwekezaji wa mabilioni.
Tufanye huna akili,Je huko Mwanza is Slum Kuna micro kama Hiki kiwanda Cha kutengeneza Mafuta a alizeti?👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1887369206913519619?t=DqBkrfGBs_tTlkiaX5QiRg&s=19
Usijifariji Kwa kutumia outdated data ,Dom is next level nowadays 👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1888229191478395025?t=yKvCCwUl0ptbPRRgvIoNIg&s=19
By the time it was micro ila Kwa Sasa ni viwanda vikubwa venue uwekezaji wa mabilioni.
Tufanye huna akili,Je huko Mwanza is Slum Kuna micro kama Hiki kiwanda Cha kutengeneza Mafuta a alizeti?👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1887369206913519619?t=DqBkrfGBs_tTlkiaX5QiRg&s=19
Usijifariji Kwa kutumia outdated data ,Dom is next level nowadays 👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1888229191478395025?t=yKvCCwUl0ptbPRRgvIoNIg&s=19
Ni kweli Dodoma ni mji mkuu na Nyerere alitumia akili sana.Lakini Nyerere angekuwa na akili za viongozi wa sasa Arusha isingekuwa mji wa kimataifa na utalii wala reli ya Tazara isingejengwa kwenda Mbeya na Dar ingekufa kuanzia hapo kama Tanga marais waliofata walivyo iua na kuhusu Mwanza achana nayo ni mji haujawai kuwa na government influence.Ila Nyerere aliamini faida za kila mahali kupunguza mugawanyiko katika eneo lake la kiutawala na aliaacha nature ya maeneo itawale nakuongeza support panapohitajika na ndo maana alichagua dodoma kuwa makao makuu ya nchi baada ya kuona hali ya maeneo hayo ni mbovu kuanzia mazingira mpaka watu wake.Vongozi wa sasa siasa zinawatawala kuliko hata uhalisia wako tayari kuua eneo fulani kwasababu tu hawapiti kura za kutosha bila kujali wanapata hasara gani kiuchumi matokeo yake wanakimbilia kukopa.Ukweli utabaki palpale Dodoma hapawezi kuwa kila kitu lazima tuwe na mgawanyo sahihi Mfano kuwa na tourism city,technology city, business city,administration city kama wenzetu walioendelea kama China 🇨🇳 na south africa 🇿🇦.Haya mengine ni mikurupuko tu na ndo maana watu wanamaliza vyuo vikuu wanarudishwa veta kwaajili ya mafunzo amazing.Nyerere huyohuyo ndiye alihamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar kwenda Dom licha ya upinzani mkali.Wakati makao makuu yanahamishwa kwenda Dom...Dom ilikua ni kamji kadogo tu hakana hata hadhi ya Manispaa.
Tukubaliane tu na hali halisi kwamba Dom wanapendelewa sana kwasababu ni mji mkuu hivyo Mwanza na miji mingine wakubali tu matokeo washapitwa kitambo😂😂
Wadanganye mEMKWA wenzako labdaKiwanda kilaini sana hicho huku Kuna viwanda hadi vya nondo, Cha mafuta kipo voil heavy duty. Ngoja niketee orodha naona mnavimba bila sababu.
Wadanganye mEMKWA wenzako labda...kiwanda cha mafuta VOIL kilishakufa siku nyingi.Kiwanda kilaini sana hicho huku Kuna viwanda hadi vya nondo, Cha mafuta kipo voil heavy duty. Ngoja niketee orodha naona mnavimba bila sababu.
Porojo nyingi wakati hujui lolote....hivi unajua sababu za Serikali kuhamisha makao makuu Dar kwenda Dom 1972 kweli😂😂....hata mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma somo la Uraia atakushindana ndo maana alichagua dodoma kuwa makao makuu ya nchi baada ya kuona hali ya maeneo hayo ni mbovu kuanzia mazingira mpaka watu wake.Vongozi wa sasa siasa
Wewe ni mweu tu unataka kuniambia kwamba Dodoma ndo katika ya nchi ??Nilishakwambia ushamba unakusumbua na Mwanza unayoangaika nayo upajui.Hii Mwanza itakupasua kichwa.Mwanza Mwanza inapamba na Kampala,Mombasa na Kigali sio Dodoma.Nikusahidie Arusha walijaribu kupiga kelele nao wakachoka,Kisumu nao wakaja mwisho wakatela na nyinyi Dodoma mkaja,utapiga kelele mpaka unakufa Mwanza inasonga.Tanga walikuja nao chali.Naomba chagua siku uje Mwanza nauli tutakuchangia ili utoe huo upufu wa vumbi la Dodoma.Porojo nyingi wakati hujui lolote....hivi unajua sababu za Serikali kuhamisha makao makuu Dar kwenda Dom 1972 kweli😂😂....hata mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma somo la Uraia atakushinda
Ulikiua wewe mbona unahemka sana dogoWadanganye mEMKWA wenzako labda...kiwanda cha mafuta VOIL kilishakufa siku nyingi.
Wenzenu Dom kuna kiwanda cha mafuta ya Alizeti kitakua na uwezo wa kuzalisha tani 10000 kwa siku na kufanya kuwa kiwanda kikubwa kuliko vyote vya aina hiyo Afrika.
Ukitoa viwanda vya samaki(ambavyo navyo vingi vimekufa kutokana na uvuvi haramu+uchache wa samaki) Mwanza hawana kiwanda chochote kinachoweza kubattle na ukubwa +uwingi wa viwanda Dom
hujajibu swali kwanini serikali ilihamisha makao makuu kutoka Dar kwenda dodoma inaonekana hujui sababu......ukiwa MJINGA ni vizuri kuuliza kwa wataalamu kama sisi tukusaidie kupata maarifa sio kuleta porojo+ushabiki maandaziWewe ni mweu tu unataka kuniambia kwamba Dodoma ndo katika ya nchi ??Nilishakwambia ushamba unakusumbua na Mwanza unayoangaika nayo upajui.Hii Mwanza itakupasua kichwa.Mwanza Mwanza inapamba na Kampala,Mombasa na Kigali sio Dodoma.Nikusahidie Arusha walijaribu kupiga kelele nao wakachoka,Kisumu nao wakaja mwisho wakatela na nyinyi Dodoma mkaja,utapiga kelele mpaka unakufa Mwanza inasonga.Tanga walikuja nao chali.Naomba chagua siku uje Mwanza nauli tutakuchangia ili utoe huo upufu wa vumbi la Dodoma.
Aliyeleta hii humu ni nani....👇👇Toa upumbavu wako hapa, jinsia ya kiume ila unaatendo ya kike. Unapenda kutukana wanaume ukitukanwa uanwatolea report wapigwe ban senge Mmoja wewe. Nimekuambia spendi kutukana kama sijatukanwa maana nimeshazitilia shaka tabia zako.
Haya hebu pitia orodha ya viwanda ulivyotuma humu halafu ujione ulivyo lofa
View attachment 3306028View attachment 3306029View attachment 3306030View attachment 3306028View attachment 3306029
View attachment 3306030
Ulikiua wewe mbona unahemka sana dogo
By the time it was micro ila Kwa Sasa ni viwanda vikubwa venue uwekezaji wa mabilioni.
Tufanye huna akili,Je huko Mwanza is Slum Kuna micro kama Hiki kiwanda Cha kutengeneza Mafuta a alizeti?👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1887369206913519619?t=DqBkrfGBs_tTlkiaX5QiRg&s=19
Usijifariji Kwa kutumia outdated data ,Dom is next level nowadays 👇👇
View: https://x.com/InvestTanzania/status/1888229191478395025?t=yKvCCwUl0ptbPRRgvIoNIg&s=19
Yaani kitu pekee Mwanza wanachowazidi Dom ni idadi ya watu pekeyake(Wasukuma hawana uzazi wa mpango wanazaliana sana)Nimeona Mapato ya Jiji la Dodoma vs Mwanza yaani Mwanza inatia aibu 😂😂