Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwanza ni dodoma region ni takwimu ya viwanda mkoa wa Dodoma
 
Kawaulize Jiji la Dodoma kwanini viwanda vyao vya alzeti ni micro na hiyo takwimu ni ya Jiji na ililetwa na mbunga mwenzio.
By the time it was micro ila Kwa Sasa ni viwanda vikubwa venue uwekezaji wa mabilioni.

Tufanye huna akili,Je huko Mwanza is Slum Kuna micro kama Hiki kiwanda Cha kutengeneza Mafuta a alizeti?πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1887369206913519619?t=DqBkrfGBs_tTlkiaX5QiRg&s=19
Usijifariji Kwa kutumia outdated data ,Dom is next level nowadays πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1888229191478395025?t=yKvCCwUl0ptbPRRgvIoNIg&s=19
 
Wewe na mwenzio wote madishi yaliyoyumba unakubali ni micro halafu unataka tushindanishe micro. Jipangeni Dodoma kuwa Jiji hakumaanishi ndo kila japo Dodoma Iko ahead ya giant cities. Muelewe uwekezaji wa viwanda ni WA sekta binafsi, miundo mbinu ya Barabara na majengo serikali ina sehemu yake ndiyo maana mmejaza vijengo vya iyumbu n.k. sekta ya miundo mbinu ya Barabara nakubaliana na nyinyi kwa kipindi hiki ila siyo viwanda au hotel mjomba. Vinginevyo mnavimba vichwa pasipo kufikiria
 
 

Attachments

  • Screenshot_2025-04-16-10-38-47-271_com.microsoft.office.word.jpg
    214 KB · Views: 28
  • Screenshot_2025-04-16-10-40-01-319_com.microsoft.office.word.jpg
    261.5 KB · Views: 24
Kiwanda kilaini sana hicho huku Kuna viwanda hadi vya nondo, Cha mafuta kipo voil heavy duty. Ngoja niketee orodha naona mnavimba bila sababu.
 
Ni kweli Dodoma ni mji mkuu na Nyerere alitumia akili sana.Lakini Nyerere angekuwa na akili za viongozi wa sasa Arusha isingekuwa mji wa kimataifa na utalii wala reli ya Tazara isingejengwa kwenda Mbeya na Dar ingekufa kuanzia hapo kama Tanga marais waliofata walivyo iua na kuhusu Mwanza achana nayo ni mji haujawai kuwa na government influence.Ila Nyerere aliamini faida za kila mahali kupunguza mugawanyiko katika eneo lake la kiutawala na aliaacha nature ya maeneo itawale nakuongeza support panapohitajika na ndo maana alichagua dodoma kuwa makao makuu ya nchi baada ya kuona hali ya maeneo hayo ni mbovu kuanzia mazingira mpaka watu wake.Vongozi wa sasa siasa zinawatawala kuliko hata uhalisia wako tayari kuua eneo fulani kwasababu tu hawapiti kura za kutosha bila kujali wanapata hasara gani kiuchumi matokeo yake wanakimbilia kukopa.Ukweli utabaki palpale Dodoma hapawezi kuwa kila kitu lazima tuwe na mgawanyo sahihi Mfano kuwa na tourism city,technology city, business city,administration city kama wenzetu walioendelea kama China πŸ‡¨πŸ‡³ na south africa πŸ‡ΏπŸ‡¦.Haya mengine ni mikurupuko tu na ndo maana watu wanamaliza vyuo vikuu wanarudishwa veta kwaajili ya mafunzo amazing.
 
Kiwanda kilaini sana hicho huku Kuna viwanda hadi vya nondo, Cha mafuta kipo voil heavy duty. Ngoja niketee orodha naona mnavimba bila sababu.
Wadanganye mEMKWA wenzako labda...kiwanda cha mafuta VOIL kilishakufa siku nyingi.
Wenzenu Dom kuna kiwanda cha mafuta ya Alizeti kitakua na uwezo wa kuzalisha tani 10000 kwa siku na kufanya kuwa kiwanda kikubwa kuliko vyote vya aina hiyo Afrika.
Ukitoa viwanda vya samaki(ambavyo navyo vingi vimekufa kutokana na uvuvi haramu+uchache wa samaki) Mwanza hawana kiwanda chochote kinachoweza kubattle na ukubwa +uwingi wa viwanda Dom
 
na ndo maana alichagua dodoma kuwa makao makuu ya nchi baada ya kuona hali ya maeneo hayo ni mbovu kuanzia mazingira mpaka watu wake.Vongozi wa sasa siasa
Porojo nyingi wakati hujui lolote....hivi unajua sababu za Serikali kuhamisha makao makuu Dar kwenda Dom 1972 kweliπŸ˜‚πŸ˜‚....hata mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma somo la Uraia atakushinda
 
Porojo nyingi wakati hujui lolote....hivi unajua sababu za Serikali kuhamisha makao makuu Dar kwenda Dom 1972 kweliπŸ˜‚πŸ˜‚....hata mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma somo la Uraia atakushinda
Wewe ni mweu tu unataka kuniambia kwamba Dodoma ndo katika ya nchi ??Nilishakwambia ushamba unakusumbua na Mwanza unayoangaika nayo upajui.Hii Mwanza itakupasua kichwa.Mwanza Mwanza inapamba na Kampala,Mombasa na Kigali sio Dodoma.Nikusahidie Arusha walijaribu kupiga kelele nao wakachoka,Kisumu nao wakaja mwisho wakatela na nyinyi Dodoma mkaja,utapiga kelele mpaka unakufa Mwanza inasonga.Tanga walikuja nao chali.Naomba chagua siku uje Mwanza nauli tutakuchangia ili utoe huo upufu wa vumbi la Dodoma.
 
Ulikiua wewe mbona unahemka sana dogo
 
hujajibu swali kwanini serikali ilihamisha makao makuu kutoka Dar kwenda dodoma inaonekana hujui sababu......ukiwa MJINGA ni vizuri kuuliza kwa wataalamu kama sisi tukusaidie kupata maarifa sio kuleta porojo+ushabiki maandazi
 
Aliyeleta hii humu ni nani....πŸ‘‡πŸ‘‡
Nitajie hivyo viwanda micro vya Mwanza zaidi ya 500 ulivyosema πŸ˜‚πŸ˜‚.
Anza kuanzia namba moja mpaka mwisho...tumalize ubishi
 
Hizi ni baadhi ya products zinazozalishwa "exclusively" na viwanda vya Dom na ku-export nje ya nchi...ukija kwa Mwanza hawana bidhaa yoyote inayozalishwa na viwanda vyao ya kuexport nje ya nchi zaidi ya samakiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeona Mapato ya Jiji la Dodoma vs Mwanza yaani Mwanza inatia aibu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…