Kimsingi kabisa hapo sokoni ndipo chan'gombe kiasili ilipoishia, kuanzia hapo dampo kuendelea mpaka extension hapana hata miaka 6 tokea paanze kujengwa, Chan'gombe kiasili imeanza miaka ya 70s baada ya watu wa tambukaleli kuamishiwa hapo.. sehemu zote ambazo hazina lami Dodoma jua ni sehemu ngeni hata huko chama unapopasemea juzi tu palikuwa misitu mitupu na nakuhakikishia sehemu zote hizo ulizozitaja kufikia mwakani zitakuwa na lamiMi siichukii Dodoma ,,maybe nikuambie ... Dodoma ni mji ambao nimekaa na mwezi wa nane nitakuwa huko ...
Lami ya Chang'ombe inaishia hapo sokoni ,kuanzia huko kwingine ni vumbi tu , barabara ya kutoka gwasa hadi mji mwema hyo Chang'ombe kuna lami ...
Chama nkuhungu kuelekea mbwanga kuna lami gani ...maybe wasubiri ring road itakayojengwa kutokezea mbwanga _Miyuji_nanenane
all in all Dodoma ina mazuri yake na ina project nzuri tu but
Kulinganisha na Mwanza kwa sasa hv ni uonevu......
Maybe waongeze nguvu kwenye population growth ,..
Maneno ya kujifariji 😂😂Dodoma kama imepigwa bomu imechakaa na vumbi jangwa ukame jua kali
6 km ni kama kutoka Downtown adi Buzuruga au kutoka Downtown adi butimba au kutoka Downtown adi Ghana.Hapa ni mji mwema , mbwanga km 6 toka mjini ...2021 ....View attachment 2269997
Mbona povu jingi au sabuni imekolea🤣🤣Town mpaka mkonze ni km 15, hapo umetudanganya mkuu
Chama ipi haina lami?
Chan'gombe ipi haina lami??
Ukiwa unaongea vitu uliza uambiwe usipelekwe na hisia za chuki dodoma yenyewe huijui
Alafu wa Dodoma na waarusha asilia huwa hawabishi kuna haters mmoja tu the sunk fallacy cost, huyu jamaa huwa ana vituko sana napenda sana changamoto zake😂😂😂JAMAN DODOMA IMEKUBALI HAMNA LEAGUE TENA
af mjue watu wa Dodoma hata hatubishani nao .wanaoongea sana kwenye battle hii ni haters kutoka mikoa mingine ...wa Dodoma wako kimya kabisa ...chawa ndo wasumbufu
abbreviation of cannabidiol, au Initialism of central business districtCBD ni nini?
Umepigwa na kitu kizitoooManeno ya kujifariji 😂😂
Huyu bwana mdogo mikidadi a.k.a Simba wa mbuga ya burigi kama sio serengeti hakika anaupiga mwingi, amemla chenga za kutosha mr sunk chai jaba.Umepigwa na kitu kizitooo
Mr.mikdde 10 Mr.sunk 1 😃😃
Hii kitu nilitaka kuandika jana, kwamba miji inayozunguka mwanza imeifanya mwanza kama Dubai yao, mpaka kigoma na Tabora huwa wanakuja mza kuchukua bidhaa, na bado watu wengi wa hiyo mikoa hupenda kujenga na kuishi mza.Dodoma hamna kitu bora nijitulize morogoro hapa hapa
Kasi ya ukuaji wa manispaa ya morogoro ndani ya miaka 2 mbele dodoma itakuwa kijiji mbele ya morogoro tatizo wawekezaji wanaukwepa huo mji una Hali ya hewa mbaya sana
Mzee mbona unashobo namna hiiMbona povu jingi au sabuni imekolea[emoji1787][emoji1787]
Acha kulazimisha vitu, Dodoma ata mimi nimekaa sana maeneo mapya ya Ilazo na dodoma naijua hakuna kitu pale zaidi ya kupauka tu[emoji23][emoji23].
Serikali inatumia mabilioni ya pesa kuibadilisha dodoma lakini wapi hizo pesa wangewekeza Mwanza si ingekuwa kama Jo'berg.
Moro hii hii ambayo kimiundombinu na majengo inapitwa na Udom.. moro vs manyoni itafaa sanaDodoma hamna kitu bora nijitulize morogoro hapa hapa
Kasi ya ukuaji wa manispaa ya morogoro ndani ya miaka 2 mbele dodoma itakuwa kijiji mbele ya morogoro tatizo wawekezaji wanaukwepa huo mji una Hali ya hewa mbaya sana
Mimi sio mzee ni kijana mdogo sana tu.Mzee mbona unashobo namna hii
Dodoma imeizidi Morogoro kimiundombinu tu hakuna zaidi ya hapo!Moro hii hii ambayo kimiundombinu na majengo inapitwa na Udom.. moro vs manyoni itafaa sana
Licha ya taasisi kuhamia ,but still baadhi ya hizo taasisi zinawekeza mwanza facilities kubwa kuliko hata makao makuu yake hapo DodomaManeno ya kujifariji [emoji23][emoji23]
Nimekwambia udom pekee morogoro bado haifikii..Dodoma imeizidi Morogoro kimiundombinu tu hakuna zaidi ya hapo!