Mi siichukii Dodoma ,,maybe nikuambie ... Dodoma ni mji ambao nimekaa na mwezi wa nane nitakuwa huko ...
Lami ya Chang'ombe inaishia hapo sokoni ,kuanzia huko kwingine ni vumbi tu , barabara ya kutoka gwasa hadi mji mwema hyo Chang'ombe kuna lami ...
Chama nkuhungu kuelekea mbwanga kuna lami gani ...maybe wasubiri ring road itakayojengwa kutokezea mbwanga _Miyuji_nanenane
all in all Dodoma ina mazuri yake na ina project nzuri tu but
Kulinganisha na Mwanza kwa sasa hv ni uonevu......
Maybe waongeze nguvu kwenye population growth ,..