Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mi siichukii Dodoma ,,maybe nikuambie ... Dodoma ni mji ambao nimekaa na mwezi wa nane nitakuwa huko ...
Lami ya Chang'ombe inaishia hapo sokoni ,kuanzia huko kwingine ni vumbi tu , barabara ya kutoka gwasa hadi mji mwema hyo Chang'ombe kuna lami ...

Chama nkuhungu kuelekea mbwanga kuna lami gani ...maybe wasubiri ring road itakayojengwa kutokezea mbwanga _Miyuji_nanenane
all in all Dodoma ina mazuri yake na ina project nzuri tu but
Kulinganisha na Mwanza kwa sasa hv ni uonevu......
Maybe waongeze nguvu kwenye population growth ,..
Kimsingi kabisa hapo sokoni ndipo chan'gombe kiasili ilipoishia, kuanzia hapo dampo kuendelea mpaka extension hapana hata miaka 6 tokea paanze kujengwa, Chan'gombe kiasili imeanza miaka ya 70s baada ya watu wa tambukaleli kuamishiwa hapo.. sehemu zote ambazo hazina lami Dodoma jua ni sehemu ngeni hata huko chama unapopasemea juzi tu palikuwa misitu mitupu na nakuhakikishia sehemu zote hizo ulizozitaja kufikia mwakani zitakuwa na lami
 

Attachments

  • Screenshot_20220623-204504.png
    Screenshot_20220623-204504.png
    170.5 KB · Views: 16
Town mpaka mkonze ni km 15, hapo umetudanganya mkuu
Chama ipi haina lami?
Chan'gombe ipi haina lami??
Ukiwa unaongea vitu uliza uambiwe usipelekwe na hisia za chuki dodoma yenyewe huijui
Mbona povu jingi au sabuni imekolea🤣🤣
Acha kulazimisha vitu, Dodoma ata mimi nimekaa sana maeneo mapya ya Ilazo na dodoma naijua hakuna kitu pale zaidi ya kupauka tu😂😂.
Serikali inatumia mabilioni ya pesa kuibadilisha dodoma lakini wapi hizo pesa wangewekeza Mwanza si ingekuwa kama Jo'berg.
 
JAMAN DODOMA IMEKUBALI HAMNA LEAGUE TENA
af mjue watu wa Dodoma hata hatubishani nao .wanaoongea sana kwenye battle hii ni haters kutoka mikoa mingine ...wa Dodoma wako kimya kabisa ...chawa ndo wasumbufu
Alafu wa Dodoma na waarusha asilia huwa hawabishi kuna haters mmoja tu the sunk fallacy cost, huyu jamaa huwa ana vituko sana napenda sana changamoto zake😂😂😂
 
Dodoma hamna kitu bora nijitulize morogoro hapa hapa

Kasi ya ukuaji wa manispaa ya morogoro ndani ya miaka 2 mbele dodoma itakuwa kijiji mbele ya morogoro tatizo wawekezaji wanaukwepa huo mji una Hali ya hewa mbaya sana
Hii kitu nilitaka kuandika jana, kwamba miji inayozunguka mwanza imeifanya mwanza kama Dubai yao, mpaka kigoma na Tabora huwa wanakuja mza kuchukua bidhaa, na bado watu wengi wa hiyo mikoa hupenda kujenga na kuishi mza.
Dodoma ni tofauti, mikoa inayozunguka Dom haitegemei dodoma, hii inapunguza biashara.
Mwanza ni kama mpakani kuna biashara kubwa sana, ukienda mwaloni wakongo kibao, mabasi kwenda uganda, kenya, Burundi nk ni daily.
Kuna usafiri wa ndege mza Nairobi.
Ndio maana unaona hoteli zinaota kama uyoga mza na hakuna utalii
 
Mbona povu jingi au sabuni imekolea[emoji1787][emoji1787]
Acha kulazimisha vitu, Dodoma ata mimi nimekaa sana maeneo mapya ya Ilazo na dodoma naijua hakuna kitu pale zaidi ya kupauka tu[emoji23][emoji23].
Serikali inatumia mabilioni ya pesa kuibadilisha dodoma lakini wapi hizo pesa wangewekeza Mwanza si ingekuwa kama Jo'berg.
Mzee mbona unashobo namna hii
 
Dodoma hamna kitu bora nijitulize morogoro hapa hapa

Kasi ya ukuaji wa manispaa ya morogoro ndani ya miaka 2 mbele dodoma itakuwa kijiji mbele ya morogoro tatizo wawekezaji wanaukwepa huo mji una Hali ya hewa mbaya sana
Moro hii hii ambayo kimiundombinu na majengo inapitwa na Udom.. moro vs manyoni itafaa sana
 
Back
Top Bottom