Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kingine kinachoibeba Dodoma dhidi ya Mwanza ni ile landscape yake ya tambarare, ni rahisi kuanzisha uyoga Dom kuliko Mwanza thus uyoga za Mwanza ziko concentrated sehemu moja ,njoo Dom kuna pale posta/ ttcl makao makuu kuna bonge jengo, sogea kama unaenda UDOM mkono wako wa kulia karibu ba hazina STILL Bado kuipiku Mwanza
 
Hoja zako ni unrealistic kabisa
Mwanza ina majengo mengi yaliyo nje ya CBD ,na hatusemi unavyosema yamerundikana sehem moja kama hatukuelewi yaani ....
 
Anzisha uzi wako leo kati ya Mwanza na Namtumbo atakuja kuipambania namtumbo kama anaijua nakusema ni bora kuliko Mwanza huwa haiwishi vituko, kila akiona mwanza lazima aje aipondee[emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa umalaya wake ulimpeleka mwanza akapewa mimba mwanza na kutelekezwa..ndio mana amejawa chuki na hasira kuhusu mwanza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dodoma tofauti na medeli ,na mji wa serikali wapi pengine utapata majengo ...na unafortunately majengo mengi yamejengwa na taasisi za serikali ....hapo medeli ni ofisi za NHIF,mkaguzi mkuu,hazina,EWURA,BOT,ccm, station, takwimu house na psssf .
Ukija sehem nyingine ni chuo cha UDOM ,chuo cha mipango na majengo ya wizara mji wa serikali ... tayari unakuwa ushamaliza majengo ya Dodoma yaliyo nje ya CBD
 
Labda uwe mgogo na uendeshwe na mihemko, ila kama umetembea mikoa Kati ya Mwanza na Dodoma hakuna mwenye Akili timamu atasema Dodoma iko vizuri kuliko Mwanza

Dodoma bila chuo kikuu cha Udom na serikali kuhamishiwa huko na kupewa jiji la Mchongo sijui ingekuaje, Dodoma sio mkoa wa kibiashara kama ilivo mikoa mingine

Dodoma kila kizuri kinakuja Kwa nguvu ya serikali ili kupatafutia hadhi maana wazawa wengi wao choka mbaya, tofauti na Mwanza jamaa wa kule wanafanya biashara na wana pesa aisee

kuna mwaka me nilikuwa mwanza nikashuudia watu wanachangishana kujenga barabara za lami na mawe kuelekewa kwenye makazi Yao, na wanajenga fresh tu bila kasheshe

Mwanza upatikanaji wa pesa ni rahisi ata Kwa ambao sio wazawa ni kama vile ilivo Dar, sasa nenda Dodoma uone, tena na hii miezi ya kipupwe utapauka mpaka kope na hutopata michongo ya pesa mpaka unasepa

Note: comment imetolewa na mtu wa Morogoro
 
Punguza kusema ukweli[emoji23]
 
Nothing else kaka na ndio maana nasema Dom kwa Mwanza bado sana
 
Hoja zako ni unrealistic kabisa
Mwanza ina majengo mengi yaliyo nje ya CBD ,na hatusemi unavyosema yamerundikana sehem moja kama hatukuelewi yaani ....
We ndo unakaza kichwa kaka nime appreciate kuwa Dom nature ya eneo lake inaibeba kwa kuanzisha maghorofa mwishon nasema pamoja na hayo yote Mwanza bado iko juu
 
Naona wawekezaji hawataki kabisa kuwekeza makao makuu ya nchi ...Dodoma ina safari sana kuipata Arusha na Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…