Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Sababu:
Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile:
Programming
Blockchain technology
Web Development
Akili Bandia (AI) &Machine Learning
Ujuzi Mbalimbali wa Kiufundi
Hata hivyo, juhudi hizi zimeathiri kwa kiasi kikubwa kiwango changu cha ufaulu darasani (GPA). Swali langu ni je, niendelee kuwekeza muda wangu kujifunza ujuzi wa vitendo na kiteknolojia ambao unaonekana kuwa muhimu zaidi sokoni? Au niwekeze nguvu zangu zaidi katika kupandisha GPA yangu kwa sababu ya umuhimu wake wa kitaaluma?
Naomba ushauri wenu🙏🏻🙏🏻🙏🏻.