Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
KujiajiriLazima uset malengo! Unataka kuajiriwa ama kujiajiri!
Sasa mdogo angu unatafuta maskills yote halafu bado unarely na kuajiriwa huoni kama unajipotezea muda???
GPA inamatter kama unafocus na kuajiriwa ila kama you are your own boss mazee tafuta GPA yako ya kishkaji ya kuvalia joho halafu force upate skills
The focus on skills and things that align with your prospects; in case you know well where you are heading to !!! GPA, no matter how good it is, without going to positively impacting your life, it's of no use !!!Kujiajiri
ππ»ππ»ππ»The focus on skills and things that align with your prospects; in case you know well where you are heading to !!! GPA, no matter how good it is, without going to positively impacting your life, it's of no use !!!
Kwanza unasoma degree program gani???Sababu:
Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile:
Programming
Blockchain technology
Web Development
Akili Bandia (AI) &Machine Learning
Ujuzi Mbalimbali wa Kiufundi
Hata hivyo, juhudi hizi zimeathiri kwa kiasi kikubwa kiwango changu cha ufaulu darasani (GPA). Swali langu ni je, niendelee kuwekeza muda wangu kujifunza ujuzi wa vitendo na kiteknolojia ambao unaonekana kuwa muhimu zaidi sokoni? Au niwekeze nguvu zangu zaidi katika kupandisha GPA yangu kwa sababu ya umuhimu wake wa kitaaluma?
Naomba ushauri wenuππ»ππ»ππ».

Computer ScienceKwanza unasoma degree program gani???
Pesa ipo kila sehemu sio cyber security tu, muache aende na muelekeo aliouchaguaKwanza unasoma degree program gani???
Kama unataka kujiajiriwa mambo hayo tanzania utaishia kuwa web developer au IT specialist ulipwe ka mshahara ka laki 6 -2m kulingana na uzoefu na taasisi
Kama unataka real money focus na Cybersecurity uwe mdukuzi.utengeneze ransomware upige pesa.
Pata vyote; ujuzi wa kutosha na GPA nene; haupungukiwi chochote ukipata vyote.Sababu:
Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile:
Programming
Blockchain technology
Web Development
Akili Bandia (AI) &Machine Learning
Ujuzi Mbalimbali wa Kiufundi
Hata hivyo, juhudi hizi zimeathiri kwa kiasi kikubwa kiwango changu cha ufaulu darasani (GPA). Swali langu ni je, niendelee kuwekeza muda wangu kujifunza ujuzi wa vitendo na kiteknolojia ambao unaonekana kuwa muhimu zaidi sokoni? Au niwekeze nguvu zangu zaidi katika kupandisha GPA yangu kwa sababu ya umuhimu wake wa kitaaluma?
Naomba ushauri wenu[emoji1317][emoji1317][emoji1317].