Je, ni kweli kuwa kila zahanati nchini ina CT scan kama Wassira anavyosema?

Je, ni kweli kuwa kila zahanati nchini ina CT scan kama Wassira anavyosema?

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan.

 
Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan
View attachment 3426970
Watumishi wa kawaida kabisa hawatoshi vifaa tiba havitoshi afu huyu mzee anakuja kudanganya umma hadharani ivi .

Huyu angehojiwa na wale waliomuhoji dogo paten angeisoma namba
 
Wanasiasa sio watu wa kuaminiwa sana
 
Mzee kalambwisi kaona adanganye tu mambo yake yaende, 😁
 
Back
Top Bottom