City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Morocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao.
Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si Waarabu
1. Culture -utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana sana na morocco. Asili ya mavazi ya morocco ni Africa na sio Arab, Chakula Waarabu ni RICE based food na Morrocco ni BREAD based food (mikate ya yesu)[emoji1], Linguistic wamorroco asili ya lugha yao si Kiarabu.
2. Geography -Nchi ya Morocco inapatikana Africa ya magharibi na sio Asia au bara lenye Arabs nafikiri kuwa karibu na Mecca imeeafanya kuzoea zaidi uarabu kuliko Africa.
3. Historically - watu wa kwanza kuitawala Morocco ni ROMANS in 2nd Century AD so hakuna trace zozote zinazoonyesha chimbuko la waarabu Morocco
BTW kama morocco hawapendi kuitwa Africans hilo sio tatizo ila wakumbuke WORLD CUP does not tell who is a real african and who is not.
Na sisi pia jamani tujitahidi kupambana tungekuwa na TIMU hata moja kutoka East Africa iliyofika hata 16 bora tusingekuwa watoto wa kufikia wa Morocco.
Lets find the way out