Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Karibuni wenye ilimu mje na nukuu za maandiko
Utajadili vipi kitu usichokijua. Kwa ufupi ni kuwa Ibrahim ndiye baba wa Imani kwa Wayahudi na Wakristo. Lakini Mohamedi aliletwa kuja kupotosha hiyo imani ambayo imetoka kwa Mungu aliye hai. Sasa kupitia Mohamedi aliyejiita Mtume waarabu na watu wengi wamepotoshwa na kuaminishwa kwa mungu asiye halisi.Karibuni wenye ilimu mje na nukuu za maandiko
Utajadili vipi kitu usichokijua. Kwa ufupi ni kuwa Ibrahim ndiye baba wa Imani kwa Wayahudi na Wakristo. Lakini Mohamedi aliletwa kuja kupotosha hiyo imani ambayo imetoka kwa Mungu aliye hai. Sasa kupitia Mohamedi aliyejiita Mtume waarabu na watu wengi wamepotoshwa na kuaminishwa kwa mungu asiye halisi.