Ndiye kiumbe bora kuzidi binadam yoyote.
Wakati mmoja, Mmoja wa maswahaba wake alimuijia Muhammad akiwa ameshika Kurasa za torati,Muhammad alipoziona akakunja Uso akasema" kama Musa angelikuwa Hai leo na mkaamua kumfuata Yeye na sio kunifuta Mimi, hakika yenu mungelipotea".
hii ni moja ya dalili kuwa Muhammad ni M'bora wa Mitume wote kuwai Tumwater.