Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
Sure unachosema mkuu...ingawa kuna kitu kwenye issue ya memory Kinaitwa "de'ja'vu" ambapo mtu anahisi tukio kuwa lilishawahi tokea nyuma ingawa in real sense halijawahi tokea.Vile vile kuna kitu kinachoitwa IMANI hichi ndicho kinachochukua nafasi kubwa katika doto, kama ukiamini ulichoota kunauwezekano mkubwa kutokea kwasababu utakuwa unaifanyia kazi hio ndoto na ukipuuzia ni marachache kutokea kwasababu hutaifanyia kazi.....
Very true sir.
Kuna power katika belief. Any belief ina impact katika uhalisia wetu maishani.
Pia ulipozungumzia De ja Vu ningependa kishare hii concept. Zamani nilikuwa najiuliza De ja Vu ni nini? Nikafuatilia jinsi maeneo mbalimbali wanavyotafsiri hiyo hali.
Nilikuta nimeipenda logic ya Wahindi. Hali ya De ja Vu kwao wanaelezea kama ifuatavyo. Wao wanaamini Reincarnation. Idea ya kuwa maisha ni sehemu ya majaribio ya nafsi kuamka na kujitambua. Kwahiyo nafsi isipokuwa Enlightened inazaliwa na kufa katika forms mbalimbali za uhai kutokana na matendo na level ya ufahamu wa mtu. Kwahiyo mazingira, souls za watu, na hali mbalimbali zinaweza kuwa kurudia kutokana na kuwa haya sio maisha yako ya kwanza hivyo sio mara ya kwanza kukutana navyo au kukutana na hali au nafsi fulani za watu. Na kila maisha uliyoishi memory yake ipo kwenye inner part of the mind (subconscious mind). Sometimes unaweza ukawa unapita eneo ambali in you past lives uliwahi kupita au kupaona na kwa sababu tunatumia conscious mind, ambayo ipo connected na subconscious mind, subconscious mind inajaribu kurecall kilichopo kwenye conscious mind. Lakini hutoweza kukumbuka mpaka uwe Enlightened akili iwe level ya Awakening.
Hivyo kwao wanaona haya maisha sio ya kwanza, kuna kuzaliwa na kufa na kuzaliwa na kufa katika muda baada ya muda hivyo sometimes unaweza ukawa upp familiar na eneo au tukio ambalo limejirudia au mtu umekutana naye ambaye ukahisi emotional connection hata kama humjua kumbe ana nafasi fulani katika maisha yako either sasa au past lives.
Since then hii idea ya de ja vu seems crazy to me.
That what I likes to share what other places sees de ja vu. De Ja vu inawatokea wengi na kila mtu takribani aliwahi kuipata hii hali. Me mwenyewe niliwaza sana kwanini hii hali ipo.