Je? ni kweli kuwa ni kosa kisheria chombo cha Moto kutembea taratibu?

Je? ni kweli kuwa ni kosa kisheria chombo cha Moto kutembea taratibu?

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa "Chombo cha moto kutembea taratibu bila sababu za msingi ni kosa kwa muujibu wa sheria (kifungu namba 67) katika sheria ya usalama barabarani" amesema Sgt. Petro Philimon kutoka Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani mkoa wa Njombe.

Chapisho limechapishwa na ukurasa wa PAZA SAUT kwenye mtandao likitoa nukuu ya Sgt. Petro Philimon kutoka Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani mkoa wa Njombe.

 
Back
Top Bottom