15m? Hata iwe 1b kama una maelezo umezipataje hamna shida.Naomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?
Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!
Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!
Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo snHuo utaratibu upo tokea zamani. Ulianzishwa kudhibiti utakatishaji wa pesa haramu (Anti Money Laundering). Ukipokea pesa kuanzia hata 5 M kama sio kawaida yako, utatakiwa utoe maelezo ya kuridhisha hizo pesa ni kwa ajili ya kitu gani. Utoe vilelezo umezipataje. Hilo ni takwa la BoT.
Sasa kwa mfano akaunti yangu wamezoea kuona mshahara unaingia mara moja, natoa ATM mara mbili tu unakata, ghafla inawekwa Milioni 10, lazima wahoji. Hapo TRA hata hawahusiki.
aiseeh Nasikia kuna mama mmoja kariakoo kanunua nyumba tabata, wamemchunguza hadi dukani kwake anavyouza na kuingiza wakamuomba risiti za miaka 5 iliyopita tangu alipoanza biashara! chanzo ni vile kanunua nyumbaHuo utaratibu upo tokea zamani. Ulianzishwa kudhibiti utakatishaji wa pesa haramu (Anti Money Laundering). Ukipokea pesa kuanzia hata 5 M kama sio kawaida yako, utatakiwa utoe maelezo ya kuridhisha hizo pesa ni kwa ajili ya kitu gani. Utoe vilelezo umezipataje. Hilo ni takwa la BoT.
Sasa kwa mfano akaunti yangu wamezoea kuona mshahara unaingia mara moja, natoa ATM mara mbili tu unakata, ghafla inawekwa Milioni 10, lazima wahoji. Hapo TRA hata hawahusiki.
Mkuu usiwe unabisha vitu bila uhakika.Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio serikali hii tu, nchi zote duniani na haswa ulaya na US ukifanya muhamala mkubwa tu wa pesa siku hizi unafuatiliwa, Wanakuweka kwenye rada zao 24/7.inawezekana kwa serikali hii haishindwi!
Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana Mkuu ilikuwa bank gan?Anachosema ni kweli nimelazimika kutolea maelezo USD 13,000 ni za nini nani ameziweka na nina uhusiano gani na kampuni yake, nimejuana naye vipi wakati ni wa nje ya tz, maelezo lazima
Mkuu usiwe unabisha vitu bila uhakika.
Jamaa kaeleza ukweli yote aliyosema.
Mimi nilikuwa namuingizia jamaa pesa 5M kwenye account yake kama malipo ya biashara flani. Benki waliniuliza maswali mbona pesa nyingi ni ya nini nikawajibu kaniuzia kitu flani namlipa jamaa. Tena hiyo ilikuwa enzi za JK 2014/2015.
Ni SERIKALI ipi haiwezi hoji?inawezekana kwa serikali hii haishindwi!
Sitataja jina lakin ni wakuda sana ,pole sana Mkuu ilikuwa bank gan?
sasa kama umevunja kibubu unawaambiaje?Sawa mie muongo, lakini ungesoma vizuri na kwa umakini ungenielewa. Nimesema kwa mtu ambae hana mazoea akaunti haijawahi kuwa hata na milioni moja, inatumbukizwa 5 M? watakuuliza hata kujua tu ni malipo ya kitu gani.
Nimewahi kuzuiliwa USD 12,000 zilikaa wiki na wakataka kuzirudisha ndio kuwatumia vielelezo wakaniwekea kwa akaunt.
Nimedanganya wapi mkubwa? Sio maadili kutaja majina ya benki lakini mwezi wa 11 niliwekewa 8 M tu nikaulizwa zimetokea wapi na ni benki kubwa tu.
Ndo ukweli huo usibishe sio 5m hata 2m kama account yako Haina kawaida ya iyo deposit lazima wakuhojiAcha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI KAMA MTU KAVUNJA KIBUBU CHAKE HILO LIPOJE?Sitataja jina lakin ni wakuda sana ,