Tetesi: Je, ni kweli kuwa siku hizi ukifanya miamala mikubwa benki unafuatiliwa hata akaunti kushikiliwa?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Naomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?

Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!

Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!
 
15m? Hata iwe 1b kama una maelezo umezipataje hamna shida.
 
Mkuu ukitumiwa pesa kwa Sasa hakikisaha una supporting doc zote kama Ni malipo uwe Na doc za Ayo malipo vinginevyo utasumbuliwa sana sana mpaka unaweza chukia,

usipokee pesa toka nje ya nchi without proper doc hii ndo hatari zaidi maana apa ni balaaa hakuna atakaekubali hii pesa iingie kwa acc yako mpaka usubmit doc kwa bank husika

Kwa sasa kiasi chochote cha pesa ukitaka Toa au kuweka usishangae kuulizwa kwanini unaweka pesa nyingi hivi umetoa wapi? Au kwanini unachukua kiasi kikubwa hivi unapeleka wapi hii yote Ni Ku hakikisha bank zina comply Na BOT rules and regulations Na pia kuzuia AML

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo utaratibu upo tokea zamani. Ulianzishwa kudhibiti utakatishaji wa pesa haramu (Anti Money Laundering). Ukipokea pesa kuanzia hata 5 M kama sio kawaida yako, utatakiwa utoe maelezo ya kuridhisha hizo pesa ni kwa ajili ya kitu gani. Utoe vilelezo umezipataje. Hilo ni takwa la BoT.

Sasa kwa mfano akaunti yangu wamezoea kuona mshahara unaingia mara moja, natoa ATM mara mbili tu unakata, ghafla inawekwa Milioni 10, lazima wahoji. Hapo TRA hata hawahusiki.
 
Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn

aiseeh Nasikia kuna mama mmoja kariakoo kanunua nyumba tabata, wamemchunguza hadi dukani kwake anavyouza na kuingiza wakamuomba risiti za miaka 5 iliyopita tangu alipoanza biashara! chanzo ni vile kanunua nyumba
 
Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiwe unabisha vitu bila uhakika.
Jamaa kaeleza ukweli yote aliyosema.
Mimi nilikuwa namuingizia jamaa pesa 5M kwenye account yake kama malipo ya biashara flani. Benki waliniuliza maswali mbona pesa nyingi ni ya nini nikawajibu kaniuzia kitu flani namlipa jamaa. Tena hiyo ilikuwa enzi za JK 2014/2015.
 
Sawa mie muongo, lakini ungesoma vizuri na kwa umakini ungenielewa. Nimesema kwa mtu ambae hana mazoea akaunti haijawahi kuwa hata na milioni moja, inatumbukizwa 5 M? watakuuliza hata kujua tu ni malipo ya kitu gani.

Nimewahi kuzuiliwa USD 12,000 zilikaa wiki na wakataka kuzirudisha ndio kuwatumia vielelezo wakaniwekea kwa akaunt.
Nimedanganya wapi mkubwa? Sio maadili kutaja majina ya benki lakini mwezi wa 11 niliwekewa 8 M tu nikaulizwa zimetokea wapi na ni benki kubwa tu.
 
Anachosema ni kweli nimelazimika kutolea maelezo USD 13,000 ni za nini nani ameziweka na nina uhusiano gani na kampuni yake, nimejuana naye vipi wakati ni wa nje ya tz, maelezo lazima
pole sana Mkuu ilikuwa bank gan?
 
Kutolea maelezo muhimu hayo mambo yapo. Kuna shule flani inamilikiwa na taasisi ya dini walikuwa wanapokea msaada fedha toka nje ya nchi za kujenga shule walipofikia kiasi flani account ilizuiliwa kwa muda kupokea pesa hadi uchunguzi na nyaraka flani zikamilike.
 
Mkuu usiwe unabisha vitu bila uhakika.
Jamaa kaeleza ukweli yote aliyosema.
Mimi nilikuwa namuingizia jamaa pesa 5M kwenye account yake kama malipo ya biashara flani. Benki waliniuliza maswali mbona pesa nyingi ni ya nini nikawajibu kaniuzia kitu flani namlipa jamaa. Tena hiyo ilikuwa enzi za JK 2014/2015.

Bora umenisaidi mkuu. Ntapata faida gani kudanganya hapa au kuandika vitu visivyo na uhalisia, kwa manufaa ya nani?
 
Sawa mie muongo, lakini ungesoma vizuri na kwa umakini ungenielewa. Nimesema kwa mtu ambae hana mazoea akaunti haijawahi kuwa hata na milioni moja, inatumbukizwa 5 M? watakuuliza hata kujua tu ni malipo ya kitu gani.

Nimewahi kuzuiliwa USD 12,000 zilikaa wiki na wakataka kuzirudisha ndio kuwatumia vielelezo wakaniwekea kwa akaunt.
Nimedanganya wapi mkubwa? Sio maadili kutaja majina ya benki lakini mwezi wa 11 niliwekewa 8 M tu nikaulizwa zimetokea wapi na ni benki kubwa tu.
sasa kama umevunja kibubu unawaambiaje?
 
Back
Top Bottom