Mkuu ukitumiwa pesa kwa Sasa hakikisaha una supporting doc zote kama Ni malipo uwe Na doc za Ayo malipo vinginevyo utasumbuliwa sana sana mpaka unaweza chukia,
usipokee pesa toka nje ya nchi without proper doc hii ndo hatari zaidi maana apa ni balaaa hakuna atakaekubali hii pesa iingie kwa acc yako mpaka usubmit doc kwa bank husika
Kwa sasa kiasi chochote cha pesa ukitaka Toa au kuweka usishangae kuulizwa kwanini unaweka pesa nyingi hivi umetoa wapi? Au kwanini unachukua kiasi kikubwa hivi unapeleka wapi hii yote Ni Ku hakikisha bank zina comply Na BOT rules and regulations Na pia kuzuia AML
Sent using
Jamii Forums mobile app