Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
cyma njoo tujibie hili swali!Hivi kiwango cha mwisho kuhamisha pesa toka sim banking ni sh. Ngapi kwa siku mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cyma njoo tujibie hili swali!Hivi kiwango cha mwisho kuhamisha pesa toka sim banking ni sh. Ngapi kwa siku mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pesa ndogo kwako au kwa nani? Mwaka 2014 nilikuwa natuma 1900USD (3.3mil wkt huo) nje kununua bidhaa, kwenye fomu nikaruka kipengele cha kueleza ni pesa ya nini, ile fomu ilirudishwa nijaze hicho kipengele ndio pesa itumwe. Ilikuwa pale CRDB Azikiwe. Hiyo 2014, leo hii 2019....Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
hawanaga longolongo mingi unapokea pesa zako hakuma anaekuuliza wala labda ziwe hazieleweki zina dosari labda document flan hazipoza nje zikoje?
Nilivyoelewa hajakataa hicho kipengele, yeye anamaanisha pesa za kuweka na kutoa.Pesa ndogo kwako au kwa nani? Mwaka 2014 nilikuwa natuma 1900USD (3.3mil wkt huo) nje kununua bidhaa, kwenye fomu nikaruka kipengele cha kueleza ni pesa ya nini, ile fomu ilirudishwa nijaze hicho kipengele ndio pesa itumwe. Ilikuwa pale CRDB Azikiwe. Hiyo 2014, leo hii 2019....
Kweli tatizo ni maelezo yako hata zingekuwa trilio515m? Hata iwe 1b kama una maelezo umezipataje hamna shida.
Acha kudanganya watu wewe Kama milioni 20 mtu lazima ajieleze basi bank itabaki na kazi ya kusikiliza Maelezo ya watu kuanzia asuhuhi hadi jioni maaana watu wa anaotoa 20m na kuendelea Kwa Siku ni zaidi ya watu elfu moja Kwa SikuMkuu usiwe unabisha vitu bila uhakika.
Jamaa kaeleza ukweli yote aliyosema.
Mimi nilikuwa namuingizia jamaa pesa 5M kwenye account yake kama malipo ya biashara flani. Benki waliniuliza maswali mbona pesa nyingi ni ya nini nikawajibu kaniuzia kitu flani namlipa jamaa. Tena hiyo ilikuwa enzi za JK 2014/2015.
Wanaoji mkuu, mimi niliwahi kuhojiwa na Teller wa NBC pale Samora kisha akaona anipeleke kwa meneja wa benki kutoa maelezo hiyo pesa nimeitoa wapi.Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kama hilo ni la kweli basi bank itabaki Kwa kusikiliza Maelezo ya watu badala ya Huduma maaana huyo anaeweka au kutoa anaenda moja Kwa moja dirishani maaana yake foleeeni yooote ikiwa inaweka na kutoa above 5m wote watakaa kujieleza sio kweli haakuna kitu Kama hicho bhana ,hilo swala ni gumu na unapotaja milioni kumi na tano tambua kuwa hiyo hela ni ndogo sana yani ni pesa ndogo sana hiyo na watu wanaweka hela na kutoa kila Siku tena Wengi Sana na zaid ya hizo uzisemazo, Sema kuna mtu anaweza akaenda bank kulingana na mazingira Fulani Fulani akahojiwaNaomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?
Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!
Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!
Kama hujawahi kutana na hiyo kadhia ni bora ukabaki kimya mana kuna watu walishahojiwa na mimi ni mmojawapo.Acha kudanganya watu wewe Kama milioni 20 mtu lazima ajieleze basi bank itabaki na kazi ya kusikiliza Maelezo ya watu kuanzia asuhuhi hadi jioni maaana watu wa anaotoa 20m na kuendelea Kwa Siku ni zaidi ya watu elfu moja Kwa Siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata milioni 30 ni ndogo brooo, hata mia ni ndogo Sema inategemea wewe unaweka milioni mia kwenye account yako Wakati hiyo account yako haijawahi kupokea hata milioni moja hapo waweza kutoa MaelezoMwaka Juzi nilienda kufungua account Bank flani hapa Dar es salaam, na at the same time nikaweka 8 millions Cash....
Sikuulizwa hata kuwa pesa nimetoa wapi..!
Nadhani kuna kiwango flani ukiweka Bank au kupokea ndo unaweza kuulizwa, may be kuanzia 30+ millions......
Sisi tunaokuambia tunatoa hela kila Siku mkuu tena zaid ya 30m labda Sema wewe ulipeleka 20m Wakati Acount yako haijawahi pokes hata laki mojaKama hujawahi kutana na hiyo kadhia ni bora ukabaki kimya mana kuna watu walishahojiwa na mimi ni mmojawapo.
Yani humu jukwaani kila mtu anafanya miamala mikubwa mikubwa kasoro mimi tu, mkuu siku nyingine zipitishie kwenye a/c yangu nawenyewe izowee kupokea hela
Nikikuongopea napata faida gani?Acha kudanganya watu wewe Kama milioni 20 mtu lazima ajieleze basi bank itabaki na kazi ya kusikiliza Maelezo ya watu kuanzia asuhuhi hadi jioni maaana watu wa anaotoa 20m na kuendelea Kwa Siku ni zaidi ya watu elfu moja Kwa Siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Branch chache sana zinazofikisha robo ya idadi hiyo ya watu wanaotoa 20m na kuendelea.Acha kudanganya watu wewe Kama milioni 20 mtu lazima ajieleze basi bank itabaki na kazi ya kusikiliza Maelezo ya watu kuanzia asuhuhi hadi jioni maaana watu wa anaotoa 20m na kuendelea Kwa Siku ni zaidi ya watu elfu moja Kwa Siku
Sent using Jamii Forums mobile app