Je ni kweli kuwa wanaume(SINGLES) hawana imani na wanawake wanaojishugulisha?

whats ur truth...
Ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!Pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!
 
ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!

wewe hujanielewa
sizungumzii muonekano wa mwili
nazungumzia kuwa mature kiakili...
Get it?????????
 
Ni kweli kabisa ..
Ila watu kama hao nikuwatema tu mapema
Hapo hamja funga ndoa.. .. balaa za nini
Muhimu kuishi na mtu muelew na anaye ku
Support ...
 
Jibu la Swali..... Sio Kweli...
Kutokujiamini au kujiamini kwa mtu hakujali wewe ni Single au Married. Hiyo ni Tabia ya Mtu
 
whats ur truth...
Ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!Pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!
 
ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!

unarudia rudia
hueleweki
 
Jibu la Swali..... Sio Kweli...
Kutokujiamini au kujiamini kwa mtu hakujali wewe ni Single au Married. Hiyo ni Tabia ya Mtu

I guess you are right VOR....
Ngoja tusikie wadau wengine wanasemaje.
 
Ni kweli kabisa ..
Ila watu kama hao nikuwatema tu mapema
Hapo hamja funga ndoa.. .. balaa za nini
Muhimu kuishi na mtu muelew na anaye ku
Support ...

Asante Mama.... kitufe cha senks mods kakibania leo...
 
wewe hujanielewasizungumzii muonekano wa mwilinazungumzia kuwa mature kiakili...Get it?????????
We unaniambia sijakuelewa wakati wewe hujanielewa?!Ngoja nikurahisishie..ni hivi unakuta mtu mzima(umri umeenda) hajamature kiasi kwamba kitu pekee kinachomtambulisha kama mtu mzima ni uchovu wa mwili!
 
Ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!Pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!
Ukweli ni kwamba maturity comes with age... ingawa sio wote lakini ni wengi.
Hivyo basi ni vigumu mtu usiwe mature at 30 alafu ukasema ulikuwa mature at 20
lakini huenda usiwe mature at 20 lakini kadri unavyokuwa na busara na experience inaongezeka
Ingawa ndio unaweza ukakuta mtu mature at 18
 
Sijui kwa wengine lakini mimi ni single lakini sipo hivyo!
 
Haya weee!
 
The following user "FutiKamba" says thank you to this useful post.....
 
mwanaume ana mature above 30 ,na wako wengine ukiongea nao 10min utakimbia haraka,, yaani anakua kama 15yr kid. kusema la kweli wengine ni choyo hwapendi kumuona mwanamke yuko juu kimaendeleo, wengine wivu , maybe,
 
Mh! kweli mpenzi wako anaweza kukuonea wivu wa maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…