BabyGal
Senior Member
- Jun 30, 2011
- 165
- 62
Ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!Pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!whats ur truth...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!Pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!whats ur truth...
ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!

We unaniambia sijakuelewa wakati wewe hujanielewa?!Ngoja nikurahisishie..ni hivi unakuta mtu mzima(umri umeenda) hajamature kiasi kwamba kitu pekee kinachomtambulisha kama mtu mzima ni uchovu wa mwili!wewe hujanielewasizungumzii muonekano wa mwilinazungumzia kuwa mature kiakili...Get it?????????
Yamekua hayo?!Haya mkuu naomba radhi!unarudia rudiahueleweki
Ukweli ni kwamba maturity comes with age... ingawa sio wote lakini ni wengi.Ukweli ni kwamba wako waliogonga mpaka 40 ila huwezi kujua ni mtu mzima isipokua kwa mvi na mwili uliochoka!Pia wapo vijana under 30 ila ni zaidi ya wengi walio above!
Haya weee!Ukweli ni kwamba maturity comes with age... ingawa sio wote lakini ni wengi.Hivyo basi ni vigumu mtu usiwe mature at 30 alafu ukasema ulikuwa mature at 20lakini huenda usiwe mature at 20 lakini kadri unavyokuwa na busara na experience inaongezekaIngawa ndio unaweza ukakuta mtu mature at 18
Ukweli ni kwamba maturity comes with age... ingawa sio wote lakini ni wengi.
Hivyo basi ni vigumu mtu usiwe mature at 30 alafu ukasema ulikuwa mature at 20
lakini huenda usiwe mature at 20 lakini kadri unavyokuwa na busara na experience inaongezeka
Ingawa ndio unaweza ukakuta mtu mature at 18