Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?
Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?