dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... hapana; wanahama na madume kwenda kupandana Kenya kisha wanarudi. Nadhani huko (Kenya) kuna mandhari nzuri zaidi ya mating kuliko upande huu ambako nako kuna mandhari nzuri zaidi ya kuzalia na kulea vichanga. In short "guest" nzuri za wanyamapori ziko Kenya![emoji848] na wakishazaa wanazaa majike tu au..