Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

[emoji848] na wakishazaa wanazaa majike tu au..
... hapana; wanahama na madume kwenda kupandana Kenya kisha wanarudi. Nadhani huko (Kenya) kuna mandhari nzuri zaidi ya mating kuliko upande huu ambako nako kuna mandhari nzuri zaidi ya kuzalia na kulea vichanga. In short "guest" nzuri za wanyamapori ziko Kenya!
 
Wale nyumbu wanaohama kwa msimu kutoka serengeti to masai mara huwa wanafuata huduma ya madume, wakishatosheka wanarudi nyumbani na mzigo tumboni.

Pia Tembo hutoka mbuga ya Taveta Kenya kutafuta wachumba wanaopatikana KINAPA mlimani Kilimanjaro, wakikamilisha kazi yao hurudi nyumbani kukusanya "bando" kwa ajili ya mwaka unaofuata.

Watu waliopo Rombo wanajua athari ya Tembo hao vizuri maana mazao hushambuliwa na pengine wananchi huuawa.
Asante Mhifadhi kwa ufafanuzi
 
... breeding season ni kipindi wakiwa Kenya; Rais yuko sahihi japo haina maana wakiwa Tanzania hawapandani; la hasha but majority of matings occur in Kenya. Hiyo ni nature na hakuna wa kuibadilisha hata kama tusingependa iwe hivyo!
dudus mambo ya Kogatende kichwa Tembo.....hahaha
 
... hapana; wanahama na madume kwenda kupandana Kenya kisha wanarudi. Nadhani huko (Kenya) kuna mandhari nzuri zaidi ya mating kuliko upande huu ambako nako kuna mandhari nzuri zaidi ya kuzalia na kulea vichanga. In short "guest" nzuri za wanyamapori ziko Kenya!
[emoji2][emoji2][emoji2] kwani the real Eden si ndo iko Bongo tz
 
Back
Top Bottom