Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwani vibwagizo vimekwisha hadi tubebeshane mimba?Kilikuwa kibwagizo tu kile!
Animal migration is to and fro but not one way or for only one reason. Kenyan animals can be impregnated in Tanzania and vice versa but not as it has been punned by SSH.Ni kweli kabisa wanyama na hata ndege pia huhama makazi ili kwenda kupata watoto kutokana na hali ya hewa na utafutaji wa chakula kama majani, maji na wadudu kwa ajili ya mbegu mpya FACT
Baadhi ya ndege husafiri maili nyingi sana
View attachment 1774895
Ufafanuzi ndio huo..unataka ufafanuzi gani Tena?! Nyumbu wanakwenda Kenya kudungwa Mimba na wanarudu TZ kuzaa...interesting...lakini pengine ingewekwa hivi: wanyama hao wanakwenda Kenya wanafanyana huko na wakirudi TZ wanazaa...ukisema kuwa wanakwenda Kenya kudungwa Mimba it is as if midume iko huko Kenya inasubiri majike kutoka TZ na kuyadunga Mimba....katika siasa you have to be very careful with words...anyway that (by our Mama) was with a light touch...ππππUfafanuzi tafadhali
Animal migration is to and fro but not one way or for only one reason. Kenyan animals can be impregnated in Tanzania and vice versa but not as it has been punned by SSH.
ukijua kula na kipofu wala hakusumbuiKunani SSH anawapa zaidi wastahilicho wakenya?
... breeding season ni kipindi wakiwa Kenya; Rais yuko sahihi japo haina maana wakiwa Tanzania hawapandani; la hasha but majority of matings occur in Kenya. Hiyo ni nature na hakuna wa kuibadilisha hata kama tusingependa iwe hivyo!Animal migration is to and fro but not one way or for only one reason. Kenyan animals can be impregnated in Tanzania and vice versa but not as it has been punned by SSH.