Maandiko yamedai tuyachunguze!!Ukiona hauyaelewi yaliyomo katika Maandiko. Ujue hayakuhusu!
HakikaUkiona hauyaelewi yaliyomo katika Maandiko. Ujue hayakuhusu!
Ndio,Bila shaka inahitaji akili kubwa kuyaelewa maandiko matakatifu ya Mungu.
Nadhani kama lengo lako ni kujua kwa nini watu humnena Maria kama mama wa Mungu wakati Mungu hana mama wala baba!
Kama hivyo ndivyo, nikuulize, Je, waamini kama Yesu ni Mungu? Naomba tuanzie hapo!
I do believe so! Ubarikiwe!The only thing I know is Jesus is my deliverer.