Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSHSasa!
Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa?
Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet home, kesho yake unaeza iacha wallet kusudi ukiamini kwamba bahati Ile itajirudia Tena?
Kwamba imetokea bila kudhani, ghafula ukajikuta msaidizi wa bosi, mara ghafula boss anaaga Dunia, unawekwa kusimamia ofisi kwa muda,
Je, Ni sawa kung'ang'ania Nafasi hiyo ambayo huna UWEZO nayo eti kwa sababu tu ulilokota embe dodo chini ya mnazi?
Swali: Bahati hurudi mara ya pili?
Karibuni ๐
Vipi mbona unatoka nje ya mada?Mpango atakua rais
Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSHVipi mbona unatoka nje ya mada?
Ametajwa wapi ndugu Father of All ?Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH
Sasa mbona ofisini kwetu kuna mtu anatumia Hadi waganga kupata u boss ilhal Shule hana?Kwani waenga walivyosemaaa ,BAHATI HAIRUDI mara mbili ukuwaelewaa mkuu๐ค
Walimaanishaaa kusemaa hvyoo..
Kwamba Leo umelokota pesa,Nadhani kila kitu kina wakati wake, hata hiyo bahati inaweza kuja mara elfu ikiwa kwenye wakati wake.
Awe tu mkuuMpango atakua rais
Umeelewa nilichokiandika?Kwamba Leo umelokota pesa,
Kesho itakuwa unatembea njia nzima tuliangalia chini kutegemea bahati ille ijirudie?
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe gentleman. acha uvivu na kubeti kilofa hivyo ๐Sasa!
Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa?
Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet home, kesho yake unaeza iacha wallet kusudi ukiamini kwamba bahati Ile itajirudia Tena?
Kwamba imetokea bila kudhani, ghafula ukajikuta msaidizi wa bosi, mara ghafula boss anaaga Dunia, unawekwa kusimamia ofisi kwa muda,
Je, Ni sawa kung'ang'ania Nafasi hiyo ambayo huna UWEZO nayo eti kwa sababu tu ulilokota embe dodo chini ya mnazi?
Swali: Bahati hurudi mara ya pili?
Karibuni ๐
Naitunza hii tiketMpango atakua rais
Dunia ya Leo mtaji ni AKILI,zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe gentleman. acha uvivu na kubeti kilofa hivyo ๐
Inaonesha hata hujaelewa chochote ๐Dah mkubwa umeanzia mbali kweli yaani, nikiwa katikatika ya andiko lako akili yangu ilikuwa haina akili kabisa๐
uifakamie na kuimaliza ada ya shule ulopewa na wazazi wako kwa tamaa na kuigiza maisha, halafu uje kutafuta faraja na matumani ya uzembe wako JF?Dunia ya Leo mtaji ni AKILI,
Una nguvu za kushindana na crane kubeba container palle bandarini?
Uchawa kazi kweli!