Ada halijawahi kumfichia Siri yule aliyeilla!uifakamie na kuimaliza ada ya shule ulopewa na wazazi wako kwa tamaa na kuigiza maisha, halafu uje kutafuta faraja na matumani ya uzembe wako JF?
gentleman,
huo ni ulofa wa kiwango cha juu sana kufanywa na mwanafunzi wa chuo kutoka kijijini na unaelipiwa ada na wazazi π
Ukisoma kwa utulivu kidogo utaelewa.Kwamba Leo umelokota pesa,
Kesho itakuwa unatembea njia nzima tuliangalia chini kutegemea bahati ille ijirudie?
Tafadhali gentleman,Ada halijawahi kumfichia Siri yule aliyeilla!
Bahati haitojirudia 2025!Tafadhali gentleman,
usifindishe wanafunzi kula ada na kuwapa matumaini kana kwamba ni jambo zuri π
Ukishajjiandaa ukatia bidii,Si lazima bahati ije mara mbili
β wakati mwingine huja mara moja tu, na ukikosa nafasi hiyo, inaweza isirudi tena. Lakini pia, kwa wanaojitahidi na kuwa tayari, fursa nyingine hujitokeza tena kama bahati ya pili. Kwa kifupi: bahati huja, lakini aliyejiandaa ndiye huiona mara zote.