Je, ni kweli kwamba ilipoishia imani ndio sayansi ikazaliwa? Au ilipoishia sayansi ndipo imani ikazaliwa?

Je, ni kweli kwamba ilipoishia imani ndio sayansi ikazaliwa? Au ilipoishia sayansi ndipo imani ikazaliwa?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Kwenye mada moja kwa moja.

Ni wapi umeona watu wenye matatizo ya akili na kulala majalalani na kula vyakula vilivyoharibika wakapatwa na matatizo ya tumbo/kuhara/ kutapika na kadharila.

Swali la msingi, Je mtu anayeishi na uchizi mpaka jamii ikamtenga, Kwanini haumwi ? Je anaishi kwa imani au sayansi?

Nawasilisha
 
Tambua kwamba imani nikua nauhakika juu yamambo yanayo onekana nayasio onekana.

Nakifupi sayansi nijuu yamambo yanayo onekana na yale yasio onekana pia.

Hivo kinacho watofautisha watu wawili hapo ni elimu tu.

Asie naelimu yakutosha ndie yule anae hitaji ushahidi nauhakika wamoja kwamoja juu ya mambo hayo mawili..ila mwenye fikra hutambua kuna nguvu,na ushahidi wa mambo yasio weza kuonekana kwa macho yakawaida nahata vipimo vyakisasa bado havijaweza kupata majibu.

Kuhusu chizi kwa kwakifupi sana nakueleza kwamba nimtu ambae yupo dimension nyingine kabisa tofauti nahii uliopo wewe hata kama unamuona kwamacho yako.
 
Naweka kambi hapa nijifunze mengi
 
Sayansi ndo chanzo hata cha kuwepo ulimwengu imani imekuwepo baada ya sayansi kuwepo

Na pasipo sayansi hata mambo ya imani yasingeweza kufanyika,
 
Sayansi ndo chanzo hata cha kuwepo ulimwengu imani imekuwepo baada ya sayansi kuwepo

Na pasipo sayansi hata mambo ya imani yasingeweza kufanyika,
Hata sayansi ni imani pia, coz huzalishwa na mawazo tuloyapa imani.

Imani ndo msingi wa ujenzi wa mambo yote ya kimwili na kiroho.
 
Hata sayansi ni imani pia, coz huzalishwa na mawazo tuloyapa imani.

Imani ndo msingi wa ujenzi wa mambo yote ya kimwili na kiroho.
Kumbuka unapotaka kuweka mazingira ya imani vizur au kuwapa watu wengine imani lazima utumie rasilimali za sayansi ili kufanikisha hilo
 
Kwenye mada moja kwa moja.

Ni wapi umeona watu wenye matatizo ya akili na kulala majalalani na kula vyakula vilivyoharibika wakapatwa na matatizo ya tumbo/kuhara/ kutapika na kadharila.

Swali la msingi, Je mtu anayeishi na uchizi mpaka jamii ikamtenga, Kwanini haumwi ? Je anaishi kwa imani au sayansi ?

Nawasilisha
Imani ndo msingi wa ujenzi wa mambo, mfano ukiwa na idea ya kuunda gari bila kuiamini idea hiyo uundaji hauwezi tokea.
 
Kumbuka unapotaka kuweka mazingira ya imani vizur au kuwapa watu wengine imani lazima utumie rasilimali za sayansi ili kufanikisha hilo
Hapo ni kama hutaki kuelewa, IMANI NI MSINGI. Je kabla ya maendeleo ya sayansi na teknolojia unadhani Imani ilikiwa haienezwi???
 
Back
Top Bottom