Naungana na wewe!Naweka kambi hapa nijifunze mengi
Hata sayansi ni imani pia, coz huzalishwa na mawazo tuloyapa imani.Sayansi ndo chanzo hata cha kuwepo ulimwengu imani imekuwepo baada ya sayansi kuwepo
Na pasipo sayansi hata mambo ya imani yasingeweza kufanyika,
Kumbuka unapotaka kuweka mazingira ya imani vizur au kuwapa watu wengine imani lazima utumie rasilimali za sayansi ili kufanikisha hiloHata sayansi ni imani pia, coz huzalishwa na mawazo tuloyapa imani.
Imani ndo msingi wa ujenzi wa mambo yote ya kimwili na kiroho.
Imani ndo msingi wa ujenzi wa mambo, mfano ukiwa na idea ya kuunda gari bila kuiamini idea hiyo uundaji hauwezi tokea.Kwenye mada moja kwa moja.
Ni wapi umeona watu wenye matatizo ya akili na kulala majalalani na kula vyakula vilivyoharibika wakapatwa na matatizo ya tumbo/kuhara/ kutapika na kadharila.
Swali la msingi, Je mtu anayeishi na uchizi mpaka jamii ikamtenga, Kwanini haumwi ? Je anaishi kwa imani au sayansi ?
Nawasilisha
Hizo raslimali zenyewe zimeundwa kwa kuzipa imani idea, hivo imani ndo msingi wa ujenzi.Kumbuka unapotaka kuweka mazingira ya imani vizur au kuwapa watu wengine imani lazima utumie rasilimali za sayansi ili kufanikisha hilo
Hapo ni kama hutaki kuelewa, IMANI NI MSINGI. Je kabla ya maendeleo ya sayansi na teknolojia unadhani Imani ilikiwa haienezwi???Kumbuka unapotaka kuweka mazingira ya imani vizur au kuwapa watu wengine imani lazima utumie rasilimali za sayansi ili kufanikisha hilo