Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu heshima kwenu, naomba kufahamu mfumo wa ulinzi wa israel,teknolojia kwenye upande wa uzalishaji wa silaha nzito na uwezo wake wa kijeshi kiujumla duniani. Ni hayo tuu wadau
asante kwa maelezo mkuuHujui kuwa Waisrael ni balaa kwa technology ndo maana Hitler aliwatumia sana na hata baada ya vita ya pili ya dunia USA na Russia waligawana wale wanasayansi waliokuwa German ndo likawa chimbuko la vita baridi. Na ndo maana USA na Russia kila mmoja kwa kummiliki waha wanasayansi wa kiisrael wanatengeneza siraha na kumili technolojia kuliko inchi yoyote duniani
Hujui kuwa Waisrael ni balaa kwa technology ndo maana Hitler aliwatumia sana na hata baada ya vita ya pili ya dunia USA na Russia waligawana wale wanasayansi waliokuwa German ndo likawa chimbuko la vita baridi. Na ndo maana USA na Russia kila mmoja kwa kummiliki waha wanasayansi wa kiisrael wanatengeneza siraha na kumili technolojia kuliko inchi yoyote duniani
Hitler aliwatumia wayahudi kama vibarua tu na ndio maana aliwateketeza.Wataalamu walikuwa wajerumani wenyewe kama kina Von Braun waliyokuja kuisaidia USA kwenda anga za mbali .
Hitler aliwatumia wayahudi kama vibarua tu na ndio maana aliwateketeza.Wataalamu walikuwa wajerumani wenyewe kama kina Von Braun waliyokuja kuisaidia USA kwenda anga za mbali .
Kijana acha kupotoka huji kuwa hata huyo mwanaanga asili yake ilikuwa Israel? Jiulize kwanini baada ya vita ya pili ya dunia America ana Russia zimekuwa superpower interms of military technology.
Soam historia ya kutengenezwa magari marekani hiyo technolojia waliitoa wapi na huyo aliyewauzia alikuwa ni nani kutoka nchi gani!
mbona walikimbizwa na hizbullah. Hao jamaa huwa hawapendi kufa.
hujui kuwa waisrael ni balaa kwa technology ndo maana hitler aliwatumia sana na hata baada ya vita ya pili ya dunia usa na russia waligawana wale wanasayansi waliokuwa german ndo likawa chimbuko la vita baridi. Na ndo maana usa na russia kila mmoja kwa kummiliki waha wanasayansi wa kiisrael wanatengeneza siraha na kumili technolojia kuliko inchi yoyote duniani
Hezbollah waliisumbua sana Israel. Unaweza kugoogle: Israel Hezbollah War! Halafu angalia Casualties na Loss kila upande, utagundua shughuli ilikuwa pevu kwa kila upande.