CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
google s-400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama ni pana sana tunapoongelea ulinzi tunaanzia wapi mpaka wapi????!!!!!
Uwezo wa kupambana??????
Kushambulia???!!
Kujilinda???!!!
Kuchota taarifa???!!Huku zako hazitoki???!!!
Yaweza kuwa wazuri sana kwenye mission execution lakini wakawa sio best kwenye info gathering and infiltration kwa mfano!!!!!!!!
Na wanaweza kuta nchi nyingine wazuri sana kwenye infiltration na info gathering ila wao sio on ground best ranked in execution bali wanatumia man made political or economic crisis to defeat opponents!!!!!!!Kwa msaada say wa IMF na WB in combo with economic hitmen sasa kusema nchi fulani ndio top ranking sidhani kama ni rahisi na sahihi!!!!
Cc, Swat, mossad007 Field Marshal es, Moshe Dayan, John Kachembeho
Hitler aliwatumia wayahudi kama vibarua tu na ndio maana aliwateketeza.Wataalamu walikuwa wajerumani wenyewe kama kina Von Braun waliyokuja kuisaidia USA kwenda anga za mbali .
Wasrael wengi walikua na majina ya kijerumani au kirusi
Nitajie mmoja basi aliyefanya kazi na Fuhrer.
wangewezaje kufanya kazi na mtu ambaye ndo alikua anawaua na kuwapeleka kwenye concentration camps?
Leo hii mimi na wewe tukipigana vita nikaja nyumbani kwako nakukuta una binti mzuri wa kike ntamchukua kwa nguvu nakumfanya mke wangu.hitler kuua waisraeli haikumaanisha hakuwa hata na mmoja kwenye shughuli zake.kama utaangalia fuhrer hakuwa mtu wakulea ujinga vile vile alipenda mtu anayeelewa kazi yake.unadhani mtu mwenye uwezo wakumsukia hand bomb kwa betri ya taa alimuua? Aliwatumikisha ili apate lake.na hata hivyo vita kati ya abushir na mjerumani hakukuzuia baadhi ya watanganyika kuwa ma puppet....
OLESAIDIMU that was brilliant say.. micro X i appreciate ur understanding too.. U guys njooni jeshini bwana km hamja enroll. Infact kila taifa lina sifa yake linapokuja swala la uhodari, uwezo, nk. Ubsurd but a fact to put here when u talk of Artic War there are no best people like the Fins (Finland).. yes Fins.. fuatilia role yao kipindi cha Russo Fin War.
From 1938-45 German had the best infantry in the World under Generals like Erwin Van Rommel and Heinz Guderian.. Leo tunaambiwa Brits are good but yet u have no indication of callin them the best in the world... US had the formidable Airforce by 1945 to date but yet they lost 40 B-52 in Vietnam and hundreds of them died and yet the failed the war... U cant call them the best especially with their Afghan withdrawal.
Israel have the most experienced army in combat against terrorism lakin sio kwamba ndio the best army in the world. Wao ndio wa kwanza ku escort ndege zao El Al na makomandoo wengne wakafuatia. Mabas ya abiria yana vifaa vya kudetect mabomu kwa msafiri kabla hajapanda.. Wao ndio pioneers wa AUV hii yote ni experience waliyoipata from their long fights against "terrorism". South Africa have the most astonishing Artillery in the world the G-52 and the Swedish have the Archer hii ni mizinga home made ambayo US na Russia would dream of being the first to made ila wamepitwa hapa.
As to who is the best in the world is yet to be known it depends with category, uhodari wa askari mfano west hawapendi askari wao wapoteze maisha lakin sisi tunafundishwa kufa ni sehemu ya shujaa wako kwa taifa sasa askar asiyetaka kufa hawez kuwa hodari kwenye mapambano hapa ndipo Israel anapokuja front runner.. they die to defend their soil.. Vietnamesse and Koreans died in thouthands and yet they saved their Land. Lakin pia apart from ushujaa wa askar kuna vifaa na uchumi.
Sidhani kama israel wapo juu kihivyo ila wanaishi kwa back up ya US
We hujui lolote, magari marekani unajua yameanza kutengenezwa lini? unaijua Model T ya Henry Ford ?halafu nitajie mwanasayansi mmoja tu wa wakiyahudi aliyefanya kazi na Hitler.
Hitler was a special case, everything to him whether favarouble or anofavourable to him it meant an opportunity. kwa hiyo haiwezi kuelezea ni kwa nini wayahudi walimsaidia ama kwa kutaka au kwa kushinikizwa
Naona avatar yako ni ya mzee Carl Max labda unaweza kusaidia kuelezea hii phenomena ya haya mauaji na huyu mtu hasa ni kitu gani alikua nacho nyuma ya pazia kwa kuua waisrael maana alisema wao ndo wanawafanya wajerumani wawe dhaifu. mpaka leo sijui kabisa motive ya mauaji yale na hata tafiti mbalimbali hazijatoa majibu ya kwa nini hasa Hitler aliwaua wayahudi
uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?