Je, ni kweli kwamba Israel ndiyo inaongoza kuwa na mfumo imara wa kiulinzi duniani?


Good analysis comrade,,
 

somo zuri well said asiyekuelewa atakuwa na tatizo
 
Wakuu heshima kwenu,

Naomba kufahamu mfumo wa ulinzi wa Israel,teknolojia kwenye upande wa uzalishaji wa silaha nzito na uwezo wake wa kijeshi kiujumla duniani.

Ni hayo tuu wadau.

Ulinzi wa Israel unasimamiwa kutoka mbinguni moja kwa moja.Kwa sasa watani wao wanajishughulikia wenyewe kwenye uprising.Halafuu akili za hawa wayahudi ni kiboko.Walipoondoka kule Misri chini ya Musa hapakujengwa pyramid yeyote hadi leo.SHALOM
 
Wakwako upo wapi?

israel and other nations made US and the natives are the red indians ,america depends on the genes of the israelists but not else ,america cant bullet its own head but defend and respect now measure the LOGIC and see THE SEMANTIC
 
israel and other nations made US and the natives are the red indians ,america depends on the genes of the israelists but not else ,america cant bullet its own head but defend and respect now measure the LOGIC and see THE SEMANTIC

Kwanini hao waisrael wasiendeleze kwao?
 
Wako vizuri sana hasa Cyber Security, wanaongoza! Nico1

Sidhani kama ni sahihi, wanaharakati wa parestina walihack security network ya israel for about 30 minutes,ezibulah waliirusha drone ikaingia zaidi ya km 10 kabla ya kuwa destroyed bila kuwa detected na system yao.wanafanya vizuri ktk cyber lakini sio kiasi hicho. M
 
Last edited by a moderator:
Kila nchi inakua bora kiulinzi kulingana na aina ya mapambano iliyowahi kupambana, na zaidi ushindani mkubwa upo ktk ukuaji wa teknolojia hasa ktk masuala ya kivita ambayo hubadilika kila siku na Israel ni bora ktk hilo kwa kua sayansi yao iko juu sana lkn pia jeshi lenye nidham kama TPDF nalo msisahau kua linaheshima yake ktk vita hvo lazima haya tuyafaham
 
Waisrael hawalali,wanaishi kwa wasiwasi sana,kila raia ana bunduki na wamejenga kuta ili kuzuia wapalestina wasipite.
Mimi nadhani wangemtemea mungu wao tu awalinde,maisha gani haya,yaani kila nyumba ina handaki ama strongroom wanamokimbilia kila mara wapalestina wanapowarushia homemade mortal.
 

hivi ukiongoza maana yake hauna mapungufu? wewe niambie nani anaongoza
 
waendeleze nini labda,they live with principles it has to be that way inorder to fullfill the world mission

Hyo mission imekuwa fulfilled kwa asilimia ngapi hadi sasa
 
hivi ukiongoza maana yake hauna mapungufu? wewe niambie nani anaongoza

cyber security hakuna nchi inayoongoza, ndio maana wakaamua kurank in term of stars, kati ya nchi 23 zilizojikamilisha kimtandao, wamerank nchi tatu amabo ni sweden, finland na izrael ziko kwenye level moja, zikifuatiwa na uk na usa. lakini nordic countries wako juu.

izrael inafanya vizuri lakini maana wanasema kwa dakika moja wanapata mashambulizi 1000 ya kimtandao. lakini hata wanao rank haya mambo hawadhibitishi maana vitu hivi ni siri kubwa ya nchi binafsi. hakuna aliyejia marekani anasoma na kufuatilia mawasiliano kabiru ya watu wote mmadui na marafiki hadi SNOWDEN alipoamua kufunguka.

 
hapohapo kwenye google andika Hizbollah defeated izrael.

Ndio utakapojua mtoto yake nepi.
SASA MBONA HUYO HISBOLLAH HAJACHUKUA MSIKITI WA aL AQSA NA KUKALIA JERUSALEM YOTE KAMA ALISHINDA? hakuna taifa limuezae israel kwa nguvu zozote za kijeshi. Wewe una haki ya kumchukia kwa sababu dini yako imekurishisha chuki dhidi ya israel.
 
Danh ishaingia imani na nguvu zisizoonekana tena!!!!!
Mngechukuana mpaka jukwaa la dini jamani hapa ni medani,baruti na vifananavyo katika matengenezo na matumizi ya hayo juu!!!!!!!

Mnaosema Israel wanalindwa na Mungu hebu tafuteni habari za IMI (Israel Military Industry) mkasome nini wanafanya juu ya Assault Riffles, Hand guns, mkasome Galaz, tafuteni Kidon na Krav Maga systema halafu mje tena!!!!!!

Operation redwing,imeektiwa mpaka movie SEAL team with highly enduring combatants,well equiped lakini wanapata ukinzani wa haki ya juu na kula kichapo sana baada ya comm. failure hapo ni tech role in fulfilling operations...ni "cobweb" phenomenon linapokuja suala la ulinzi sio aspect moja tu ya Imani HELL NO. Hao mnaodhani wanashinda kwa imani ni kuwa "WEB" is well established,working and maintained with all necessary costs,NEVER A MERE BLESSING!!!!

Tafuteni Movie ya "We were soldiers" kuna maneno haya "mtu" akiwa kanisani "God neglect their prayers" sasa kama kila anayeomba tu anapewa why huyu akaombe wenziwe washindwe?????!!!!!!

Na.kama kila aombaye hupewa kwa nini vitani kuna mshindi, hebu acheni kuchezea kazi za watu asee watu hawalali wanakesha msoto wakati wa training mpaka kutimiza majukumu halafu una reduce all these kwenye imani????!!!! We unakula pizza watu wanafunzwa kula mimea mibichi,we ulale na duvet mtu alaze korodani ndani ya kombati tope kibao halafu unasemaje asee, unabeba tablet na uturi juu watu wako na pack harufu hata haijulikani tena ni ya nini halfu useme imani imefanyaje????!!!! Acheni wepesi wa fikra watu wametoa damu,jasho mpaka roho juu ya "ulinzi" !!!!!!

Hujuma ipo kuanzia maisha ya kawaida mpaka hayo mnayodhani ati ni matokeo ya maombi!!!!!!
Israel learned a hard way and still the road they are hitting in persuing just existance leave alone happiness is full of overt-covert ops!!!!!

It takes a man with iron balls!!!!!!

mossad007, Elungata, Swat !!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini hao waisrael wasiendeleze kwao?

Kwa hili la Israel kwa sasa wameshairudisha Yerussalem yote na kurudisha makao makuu yake huko.Yerusalem haitagawanyika tena.hapo wamefanikiwa.kinachofuata ni kujenga tena Hekalu la Suleiman.Hii ndio ratiba ya Msingi
 
Kwa hili la Israel kwa sasa wameshairudisha Yerussalem yote na kurudisha makao makuu yake huko.Yerusalem haitagawanyika tena.hapo wamefanikiwa.kinachofuata ni kujenga tena Hekalu la Suleiman.Hii ndio ratiba ya Msingi

Ndo mfumo wa ulinzi wanaojitamba nao?
 

Well said comrade...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…